Ubalozi wa Tanzania nchini Qatar, fursa ya Kombe la Dunia 2022 hiyo inakuja

Ubalozi wa Tanzania nchini Qatar, fursa ya Kombe la Dunia 2022 hiyo inakuja

Hivi ni elimu au kitu gani kinatufanya tuwe hivi?Mbona tumezubaa sana kwenye fursa za kweli za uchumi isipokuwa siasa na uajiriwa wa mashirika mazuri ya umma na taasisi zake?
Ninafikiri ni suala la mindset. Vijana wengi bado tunapenda sana white-collar jobs kwa sababu ya status zake katika jamii.
 
Fursa ya watu kupiga hela hyo,sijui waTZ hua tunawazaga nn.
Yani wazo linawezekana likawa zuri lakini tumbo likawa na njaa,utaskia kutathmini na kupitisha jambo hilo vikao na semina imeliwa 1.4bill.
Baada ya mkakati kupita watu wanalamba 10% yao
wanaita facilitation fees, nawewe ndo faciliteta mwenyewe
 
Nchi hazitangazwi na balozi
Kazi ya kutangaza nchi zina wenyewe
Wenyewe kina nani? Wauza unga? wagonjwa wa kisukari? waganga wa kienyeji na wapiga ramli? Au manabii wanaosema wanafufua watu halafu watu wakifa wanashindwa kuwafufua?
 
Wenyewe kina nani? Wauza unga? wagonjwa wa kisukari? waganga wa kienyeji na wapiga ramli? Au manabii wanaosema wanafufua watu halafu watu wakifa wanashindwa kuwafufua?
Mkuu, niliamua tu kumkalia kimya huyo ndugu The Boss kwa maana aliandika mambo ya ajabu sana. Hajui kama mabalozi ndio wapo "jikoni" kabisa tofauti na hao TANAPA na NIC
 
Asiejua maana haambiwi maana
 
Asiejua maana haambiwi maana
Tunaelimishana. Ukidhani umesimama uangalie tu usianguke. Ukiangalia kwa mfano, Israel kwanini wako effective, ni sababu kila mtu anahakikisha anapopata nafasi, anafanya kazi kwa ustawi wa Israel. Sisi kila kazi ina "mwenyewe". Ndio maana kuna watu mpaka leo kwenye misafara yao lazima waweke waganga wa kienyeji. Eti wanasaidia kuwalinda na kusafisha nyota. Nchi yetu hii tusipobadilika, tutapata tabu sana.
 
Tunaelimishana. Ukidhani umesimama uangalie tu usianguke. Ukiangalia kwa mfano, Israel kwanini wako effective, ni sababu kila mtu anahakikisha anapopata nafasi, anafanya kazi kwa ustawi wa Israel.
Ndio maana wajamaa wapo advanced sana
 
Ndio maana kuna watu mpaka leo kwenye misafara yao lazima waweke waganga wa kienyeji. Eti wanasaidia kuwalinda na kusafisha nyota. Nchi yetu hii tusipobadilika, tutapata tabu sana.
Alafu unakuta huyo ni msomi ngazi ya masters ndio anaambatana na waganga wa kienyeji.
 
Chadema walilamikia ufisadi ila Samia ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema.
 
Back
Top Bottom