Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #21
Ninafikiri ni suala la mindset. Vijana wengi bado tunapenda sana white-collar jobs kwa sababu ya status zake katika jamii.Hivi ni elimu au kitu gani kinatufanya tuwe hivi?Mbona tumezubaa sana kwenye fursa za kweli za uchumi isipokuwa siasa na uajiriwa wa mashirika mazuri ya umma na taasisi zake?
wanaita facilitation fees, nawewe ndo faciliteta mwenyeweFursa ya watu kupiga hela hyo,sijui waTZ hua tunawazaga nn.
Yani wazo linawezekana likawa zuri lakini tumbo likawa na njaa,utaskia kutathmini na kupitisha jambo hilo vikao na semina imeliwa 1.4bill.
Baada ya mkakati kupita watu wanalamba 10% yao
Ila kama ipo kisheria/kikanuni hakuna ubayawanaita facilitation fees, nawewe ndo faciliteta mwenyewe
Sawa mkuuNchi hazitangazwi na balozi
Kazi ya kutangaza nchi zina wenyewe
Poa mzee babaHakika ni kweli kabisa...
Wenyewe kina nani? Wauza unga? wagonjwa wa kisukari? waganga wa kienyeji na wapiga ramli? Au manabii wanaosema wanafufua watu halafu watu wakifa wanashindwa kuwafufua?Nchi hazitangazwi na balozi
Kazi ya kutangaza nchi zina wenyewe
Mkuu, niliamua tu kumkalia kimya huyo ndugu The Boss kwa maana aliandika mambo ya ajabu sana. Hajui kama mabalozi ndio wapo "jikoni" kabisa tofauti na hao TANAPA na NICWenyewe kina nani? Wauza unga? wagonjwa wa kisukari? waganga wa kienyeji na wapiga ramli? Au manabii wanaosema wanafufua watu halafu watu wakifa wanashindwa kuwafufua?
Mkuu, niliamua tu kumkalia kimya huyo ndugu The Boss kwa maana aliandika mambo ya ajabu sana. Hajui kama mabalozi ndio wapo "jikoni" kabisa tofauti na hao TANAPA na NIC
Wenyewe kina nani? Wauza unga? wagonjwa wa kisukari? waganga wa kienyeji na wapiga ramli? Au manabii wanaosema wanafufua watu halafu watu wakifa wanashindwa kuwafufua?
Sawa mzee babaAsiejua maana haambiwi maana
Tunaelimishana. Ukidhani umesimama uangalie tu usianguke. Ukiangalia kwa mfano, Israel kwanini wako effective, ni sababu kila mtu anahakikisha anapopata nafasi, anafanya kazi kwa ustawi wa Israel. Sisi kila kazi ina "mwenyewe". Ndio maana kuna watu mpaka leo kwenye misafara yao lazima waweke waganga wa kienyeji. Eti wanasaidia kuwalinda na kusafisha nyota. Nchi yetu hii tusipobadilika, tutapata tabu sana.Asiejua maana haambiwi maana
Ndio maana wajamaa wapo advanced sanaTunaelimishana. Ukidhani umesimama uangalie tu usianguke. Ukiangalia kwa mfano, Israel kwanini wako effective, ni sababu kila mtu anahakikisha anapopata nafasi, anafanya kazi kwa ustawi wa Israel.
Alafu unakuta huyo ni msomi ngazi ya masters ndio anaambatana na waganga wa kienyeji.Ndio maana kuna watu mpaka leo kwenye misafara yao lazima waweke waganga wa kienyeji. Eti wanasaidia kuwalinda na kusafisha nyota. Nchi yetu hii tusipobadilika, tutapata tabu sana.
Inawezekana zooote zikawa zimejaa mpaka sasaHivi unaweza anza fanya booking za hotel huko kwa ajili ya world cup?
Sasa itakuwaje au watu wamewahi kuja kupandiana beiInawezekana zooote zikawa zimejaa mpaka sasa
Ukifanya booking mapema na kulipa advance/down payment basi gharama ya chumba/apartment inapungua.Sasa itakuwaje au watu wamewahi kuja kupandiana bei
Rais Samia amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!Chadema walilamikia ufisadi ila Samia ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema.