theHAVARD_product
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 289
- 192
Mkuu mi mwenyewe nimeumia sana baada ya kusikia kwamba mil 4 tu ndo bado zinatakiwa ili kusafirisha mwili bongo.
This pains ALOT. Ngwair ni Moja ya Wasanii waliotumiwa na akina MIRAJI kumuingiza Baba yao madarakani na yeye KIKWETE anajua.
Unaijua serikali ama huijui?Jana nilikuwa Natweet na ndugu yangu Chahali,Kuhusu Ubalozi wa Tanzania RSA,na kuniambia Urasimu wa ubalozi huo sikuamini! Na Ubalozi unasema haumjui Msanii NGWAIR(jana)!!
LEO, Unashindwa hata kusaidia taratibu za kumsafirisha!!
Msanii kama huyu 4MIL Ubalozi unashindwa kutoa!! Mpaka watu waanze kutembeza BAKULI! very Sad.
Sent from my Windows Phone
na wimbo akaimba "MTOTO WA JAH KAYAAThis pains ALOT. Ngwair ni Moja ya Wasanii waliotumiwa na akina MIRAJI kumuingiza Baba yao madarakani na yeye KIKWETE anajua.
clouds si wamemsafirisha Millard hadi SA kutoa updates za msiba
wajichangishe pia katika hili ngwair azikwe home....,
kama ni kweli hayo basi ni aibu tupu kwetu, nimeumia sana. haiwezekani mpaka leo mwili usiletwe hapa,pengine kama kutakuwa na jambo linachunguzwa. R.I.P cowbama