Ubalozi wa tanzania sauzi mtendeeni haki ngwair

Ubalozi wa tanzania sauzi mtendeeni haki ngwair

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
289
Reaction score
192
Jana nilikuwa Natweet na ndugu yangu Chahali,Kuhusu Ubalozi wa Tanzania RSA,na kuniambia Urasimu wa ubalozi huo sikuamini! Na Ubalozi unasema haumjui Msanii NGWAIR(jana)!!

LEO, Unashindwa hata kusaidia taratibu za kumsafirisha!!
Msanii kama huyu 4MIL Ubalozi unashindwa kutoa!! Mpaka watu waanze kutembeza BAKULI! very Sad.

Sent from my Windows Phone
 
Mkuu mi mwenyewe nimeumia sana baada ya kusikia kwamba mil 4 tu ndo bado zinatakiwa ili kusafirisha mwili bongo.
 
Mkuu mi mwenyewe nimeumia sana baada ya kusikia kwamba mil 4 tu ndo bado zinatakiwa ili kusafirisha mwili bongo.

Angekua Rehema Chalamila tungekua tumeshapokea mwili wake ila kwa kua ni Albert Mangwea tusubiri huruma za Watanzania.
 
This pains ALOT. Ngwair ni Moja ya Wasanii waliotumiwa na akina MIRAJI kumuingiza Baba yao madarakani na yeye KIKWETE anajua.
 
Unaweza Kusema labda ni SIASA inatumika katika huu mjadala. But ni wakati wa WASANII kuungana na kusimama katika misingi sahihi kuhusu serikali na hata katika kazi zao.
Ni Mtanzania na atabaki kuwa Mtanzania jambo hili linasikitisha na kutia AIBU!! hata Majirani zetu wakisikia hii taarifa watatushangaa.
 
Aibu sana....mpaka sasa hv tunavyozungumza mwili ungekuwa ushaletwa.
Wakenya walipata ajal hapa lakin kesho yako tu ndege iliwachukua wote majeruh na walionusurika na kuwarudisha kwao.
Inauma sana jaman.
 
This pains ALOT. Ngwair ni Moja ya Wasanii waliotumiwa na akina MIRAJI kumuingiza Baba yao madarakani na yeye KIKWETE anajua.

clouds si wamemsafirisha Millard hadi SA kutoa updates za msiba
wajichangishe pia katika hili ngwair azikwe home....,
 
Jana nilikuwa Natweet na ndugu yangu Chahali,Kuhusu Ubalozi wa Tanzania RSA,na kuniambia Urasimu wa ubalozi huo sikuamini! Na Ubalozi unasema haumjui Msanii NGWAIR(jana)!!

LEO, Unashindwa hata kusaidia taratibu za kumsafirisha!!
Msanii kama huyu 4MIL Ubalozi unashindwa kutoa!! Mpaka watu waanze kutembeza BAKULI! very Sad.

Sent from my Windows Phone
Unaijua serikali ama huijui?
 
kama ni kweli hayo basi ni aibu tupu kwetu, nimeumia sana. haiwezekani mpaka leo mwili usiletwe hapa,pengine kama kutakuwa na jambo linachunguzwa. R.I.P cowbama
 
kama ni kweli hayo basi ni aibu tupu kwetu, nimeumia sana. haiwezekani mpaka leo mwili usiletwe hapa,pengine kama kutakuwa na jambo linachunguzwa. R.I.P cowbama

Daaaaaaaahhhhh...........
inauma mpaka basi yani.
 
Wasanii mlio hai mjivunze kitu kutoka kwa kifo cha mpambe wa ccm 2005 r,i.p mangwea,.
 
duh,.
Kweli vijana hawapendwi na magamba dah wanawatumia ka muwa tu huyu si ndo alikuwa anatumika kwenye sherehe za magamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita dah...
 
Back
Top Bottom