Ubalozi wa Tanzania uliopo Afrika Kusini ubadilishwe, kwa Miaka sasa amna kitu wanafanya

Hiyo habari ililetwa humu jamii forum.

Mimi niko Wanging'ombe mkoa wa Njombe.

Sekondari nilisoma Mara , Oswald Mang'ombe sec school.

Moja ya rafiki zangu humu JF ni Maghayo aliyeko Denmark kunakosifika kwa ufugaji wa ng'ombe .

Ila yeye anatokea Kilimanjaro,Boma ng'ombe
Wewe na Maghayo ni wapwa?
 
Balozi wa TZ south Africa ana kazi Sana, Nakumbuka niliwahi kusoma jarida Moja la uko south linaitwa Drum mwaka 1998/1999 Moja ya makala zake lilielezea kiwango Cha uhalifu kwa miaka iyo 98/99 kilikua juu sana.
kesi za miili iliyo kufa na kuokotwa Barbarani au maeneo mengine na kesi za ubakaji zilikua ni nyingi kupita kiasi.

Kwa mujibu wa makala iyo ilielezea polisi ilifikia hatua kama wakipata mwili uliokufa na wanafanya uchunguzi ndani ya wiki Moja na wakikosa ushahidi hawaendelei na uchunguzi kwakua matukio ni mengi.

Kitu ninacho fahamu kwasasa miili ya wa Tanzania inayo rudi nyumbani kwa njia ya ndege baada ya kufariki kwa namna mbalimbali kule South Africa kwa wiki haipungui 2.
Sijajua Ile miili inayo rudishwa kwa njia nyingine na Ile isiyo rudishwa kabisa, itakua mingapi kwa wiki.

Taarifa nilizo wahi kuzisikia siku za karibuni matukio ya uharifu yanayo husisha vifo na ubakaji yameongezeja zaidi kuliko miaka ya 98/99 wakati niliposoma ilo jarida.
Maana yake Balozi wa TZ kule South ukiacha shughuzake za kilasiku ana kazi pevu kwenye ishu ya misiba ya wa TZ.
 
1. Kuna ndugu alifaliki SA back then, yani tunajua Mefariki kwa kutumiwa picha na anatafutwa ajulikani for a month and so, gari lake likekutwa limepata ajali. mwili aupo, damu tu. Tulihustle sana balozi bila bila. Amna hata coperation.

Any way.

TUKIO YA LEO YANGA KUKWAMA: same same senerio amini kutakuwa na more issues. Ile balozi watu wapo na issue zao sio kufanya kazi.

Yanga watakuja kusimulia. Makamba afanye analysis
Balozi na maafsa wake wote wamekwenda kula pasaka wamebaki walinzi,january mmebugi ni mlinda wazembe!
 
katika ubalozi wa Tanzania wenye shida sana sana ni huu wa Pretoria tushasema sana lakini sijui za ndani ni zipi? Ukitaka kuamini nenda magereza ya afrika ya kusini 60% ya wageni ni watanzania sio kwamba ndio wakosaji sana bt mabalozi hawaji kuwatoa mimi shahidi wa hilo balozi wa malawi kila mwezi anakwenda magerezani kutoa watu warudi nyumbani kwao hasa modabee hila huyu wa bongo kwanza humkuti ofisini hata siku moja
Wewe pelekwa tu tena gerezani ukitegemea balozi aje kukutoa. Kuhusu hilo la.kuwaacha mkae gerezani hata mimi naunga mkono ILI MKOME KUKIUKA TARATIBU ZA WATU.

NAUSHAURI UBALOZI UWASAIDIE TU WALE WENYE HAKI NA SIO NYIE WAZAMIAJI NA WAHALIFU MKIWA HUKO
 
KWA MAJINA NAITWA MOHAMED TAIBALH MSANGI NI KIONGOZI WA SOUTH AFRICA KUPITIA CHAMA CHA TACOP TANZANIA COMMUNITY IN PRETORIA....

PIA NI KIONGOZI WA MABAHARIA SOUTH AFRICA......

NINGEPENDA KUWAJIBU HII POST YENU

KWANZA KABISA MNATAKIWA KUTAMBUA TUNA BALOZI MPYA AMBAYE AMENZA KAZI MWISHONI MWA MWAKA JANA
Achana na yanga mkuu ukiona mtu analalamikia utaratibu jua ni mvunja utaratibu. Wewe ndo yupi kwenye hzo pic ulizotuma
 
KWA MAJINA NAITWA MOHAMED TAIBALH MSANGI NI KIONGOZI WA SOUTH AFRICA KUPITIA CHAMA CHA TACOP TANZANIA COMMUNITY IN PRETORIA....

PIA NI KIONGOZI WA MABAHARIA SOUTH AFRICA......

NINGEPENDA KUWAJIBU HII POST YENU

KWANZA KABISA MNATAKIWA KUTAMBUA TUNA BALOZI MPYA AMBAYE AMENZA KAZI MWISHONI MWA MWAKA JANA

PILI BALOZI JEMAS G BWANA TOKA AMEINGIA MADARAKANI AMEFANYA MAMBO MENGI KWA MUDA MCHACHE SASA TUNASHANGAA KUONA MNAANDIKA VITU KAMA HIVI BILA USHAHIDI WOWOTE

SISI TUMESHIRIKIANA NA UBALOZI WOTE WA SOUTH AFRICA ULIOPO PRETORIA KUPITIA BALOZI JAMES G BWANA KTK MATATIZO MBALI MBALI YA WATANZANIA SOUTH AFRICA

MWAKA JANA BALOZI JAMES G BWANA PAMOJA NA UBALOZI ULISIMAMIA ZOEZI ZIMA LA KUWASAFIRISHA NDUGU ZETU WATATU WALIO UNGUA NA MOTO JOHANNESBURG SOUTH AFRICA

BALOZI HAKUISHIA HAPO ALIKUJA NA MIILI MPAKA TANZANIA NA MIMI NI MMOJA WAPO NILIO KESHA NA BALOZI KUANZIA USIKU WA SAA SITA MPAKA ASUBUHI KTK KUKOMBOA MIILI YA NDUGU ZETU PALE SWISSPORT CARGO SERVICE

FROM THERE BALOZI ALIKABITHI HIYO MIILI KTK FAMILY.....

BADO BALOZI HAKUISHIA HAPO KUTOKANA USIKU ILIKUJA MIILI MIWILI NA MMOJA TUKAUPOKEA KESHO YAKE MCHANA

KWA HIYO BALOZI ALIKESHA USIKU NA MCHANA AIRPORT KUHAKIKISHA ANASHUGHULIKIA MIILI HIYO.......NA KUWAKABIDHI FAMILY

TUKIJA KTK SWALA LA YANGA

TUMEKUWA NA BALOZI KTK MAPOKEZI YA YANGA AIR POINT HATUA KWA HATUA SIONI KOSA LA BALOZI HAPO

BADO MH BALOZI AMEKUJA NA UTARATIBU WA KUTUPATIA PASSPORT TUKIWA SOUTH AFRICA

KINGINE CHENYE MANUFAA KWETU ZAIDI BALOZI AMETULETEA WATU WA BANK ILI TUWEZE KUFUNGIA ACCOUNT TUKIWA SOUTH AFRICA...

JUZI TULIKUWA NA KIKAO KUHUSU WATANZANIA WALIO PIGWA LENDELA.......

SASA SIJUI TUNATAKA BALOZI AFANYE NINI

HILA KWA SISI VIONGOZI WA MAJIMBO YOTE SOUTH AFRICA HATUNA SHIDA NA UBALOZI WETU KWA SASA

BALOZI ANATUSIKILIZA BALOZI ANATUDHAMINI HUO NDIO UKWELI

NINA MPAKA USHAHIDI WA PICHA BALOZI ALIVYO KESHA AIRPORT USIKU NACHANA KUKOMBOA MAITI ZILIZO TOKA SOUTH AFRICA.......

PIA TUNA PICHA ZA VIKAO BAINA YA UONGOZI WA MAJIMBO YOTE SOUTH AFRICA NA BALOZI

LENGO LA MIKUTANO HIYO AU VIKAO HIVYO NI JINSI GANI BALOZI ANAJARIBU KUTUSIHI KUWA KITU KIMOJA NA ANAHAKIKISHA WATANZANIA TUNAPATA VIBALI

MH JAMES G BWANA AMEFANYA MENGI SANA TENA KWA MUDA MCHACHE......
Dah, kwa kweli Ubalozi unahitaji pongezi. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kaka umefanya la maana sana kuliweka hili wazi. Nakumbuka hata sisi Cape Town walikuja wadada wawili maafisa kutoka Ubalozi pretolia wakatusajili wenye matatizo ya pasipoti kama unavyotuelewa wabongo. Kuhusu suala la vifo bro unaelewa huku misiba kila siku,kila sikutunazika na kusafirisha kwa wiki hata mara tatu we unaelewa, hapo sasa balozi ajigawaje, bado miji mingine. Sasa hawa wanaoibuka na kulalamika sijui wanaishi aflika Kusini ipi,tujifunze shukrani jamani na tupunguze kulalamika
 
KWA MAJINA NAITWA MOHAMED TAIBALH MSANGI NI KIONGOZI WA SOUTH AFRICA KUPITIA CHAMA CHA TACOP TANZANIA COMMUNITY IN PRETORIA....

PIA NI KIONGOZI WA MABAHARIA SOUTH AFRICA......

NINGEPENDA KUWAJIBU HII POST YENU

KWANZA KABISA MNATAKIWA KUTAMBUA TUNA BALOZI MPYA AMBAYE AMENZA KAZI MWISHONI MWA MWAKA JANA

PILI BALOZI JEMAS G BWANA TOKA AMEINGIA MADARAKANI AMEFANYA MAMBO MENGI KWA MUDA MCHACHE SASA TUNASHANGAA KUONA MNAANDIKA VITU KAMA HIVI BILA USHAHIDI WOWOTE

SISI TUMESHIRIKIANA NA UBALOZI WOTE WA SOUTH AFRICA ULIOPO PRETORIA KUPITIA BALOZI JAMES G BWANA KTK MATATIZO MBALI MBALI YA WATANZANIA SOUTH AFRICA

MWAKA JANA BALOZI JAMES G BWANA PAMOJA NA UBALOZI ULISIMAMIA ZOEZI ZIMA LA KUWASAFIRISHA NDUGU ZETU WATATU WALIO UNGUA NA MOTO JOHANNESBURG SOUTH AFRICA

BALOZI HAKUISHIA HAPO ALIKUJA NA MIILI MPAKA TANZANIA NA MIMI NI MMOJA WAPO NILIO KESHA NA BALOZI KUANZIA USIKU WA SAA SITA MPAKA ASUBUHI KTK KUKOMBOA MIILI YA NDUGU ZETU PALE SWISSPORT CARGO SERVICE

FROM THERE BALOZI ALIKABITHI HIYO MIILI KTK FAMILY.....

BADO BALOZI HAKUISHIA HAPO KUTOKANA USIKU ILIKUJA MIILI MIWILI NA MMOJA TUKAUPOKEA KESHO YAKE MCHANA

KWA HIYO BALOZI ALIKESHA USIKU NA MCHANA AIRPORT KUHAKIKISHA ANASHUGHULIKIA MIILI HIYO.......NA KUWAKABIDHI FAMILY

TUKIJA KTK SWALA LA YANGA

TUMEKUWA NA BALOZI KTK MAPOKEZI YA YANGA AIR POINT HATUA KWA HATUA SIONI KOSA LA BALOZI HAPO

BADO MH BALOZI AMEKUJA NA UTARATIBU WA KUTUPATIA PASSPORT TUKIWA SOUTH AFRICA

KINGINE CHENYE MANUFAA KWETU ZAIDI BALOZI AMETULETEA WATU WA BANK ILI TUWEZE KUFUNGIA ACCOUNT TUKIWA SOUTH AFRICA...

JUZI TULIKUWA NA KIKAO KUHUSU WATANZANIA WALIO PIGWA LENDELA.......

SASA SIJUI TUNATAKA BALOZI AFANYE NINI

HILA KWA SISI VIONGOZI WA MAJIMBO YOTE SOUTH AFRICA HATUNA SHIDA NA UBALOZI WETU KWA SASA

BALOZI ANATUSIKILIZA BALOZI ANATUDHAMINI HUO NDIO UKWELI

NINA MPAKA USHAHIDI WA PICHA BALOZI ALIVYO KESHA AIRPORT USIKU NACHANA KUKOMBOA MAITI ZILIZO TOKA SOUTH AFRICA.......

PIA TUNA PICHA ZA VIKAO BAINA YA UONGOZI WA MAJIMBO YOTE SOUTH AFRICA NA BALOZI

LENGO LA MIKUTANO HIYO AU VIKAO HIVYO NI JINSI GANI BALOZI ANAJARIBU KUTUSIHI KUWA KITU KIMOJA NA ANAHAKIKISHA WATANZANIA TUNAPATA VIBALI

MH JAMES G BWANA AMEFANYA MENGI SANA TENA KWA MUDA MCHACHE.......
Safi Sana mkuu, tusaidie na mawasiliano yako Kama itakupendeza, Kuna watoto wa kituo chetu Cha michezo walikuja majaribio huko na wakafaulu ila utapeli unataka kufanyika. Naomba mawasiliano Yako Maana siwezi kuweka Kila kitu wazi hapa
 
1. Kuna ndugu alifaliki SA back then, yani tunajua Mefariki kwa kutumiwa picha na anatafutwa ajulikani for a month and so, gari lake likekutwa limepata ajali. mwili aupo, damu tu. Tulihustle sana balozi bila bila. Amna hata coperation.

Any way.

TUKIO YA LEO YANGA KUKWAMA: same same senerio amini kutakuwa na more issues. Ile balozi watu wapo na issue zao sio kufanya kazi.

Yanga watakuja kusimulia. Makamba afanye analysis

Upo sahihi. Nadhan balozi yetu ni wahuni. Yaani kama balozi haifanyi kazi,balaoz inaishi kihuni sana hiyo. Baloz nzima
Ifumuliwe, kuna fursa nyingi lakini hao jamaa wanakula ngadaa tu. Nilishawahi kufika hapo ni Kama ofisi ya wahuni na genge la matapeli

Watanzania wengi snaa wanapata shida na hawapat msaada wowote ; moja ya balozi mbaya kabisa kuwah kutokea ni hiyo , na Sidhan Kama hata Rais anaitembelea.

Yaani Tanzania ni Kama haina Ubaloz SA,
 
KWA MAJINA NAITWA MOHAMED TAIBALH MSANGI NI KIONGOZI WA SOUTH AFRICA KUPITIA CHAMA CHA TACOP TANZANIA COMMUNITY IN PRETORIA....

PIA NI KIONGOZI WA MABAHARIA SOUTH AFRICA......

NINGEPENDA KUWAJIBU HII POST YENU

KWANZA KABISA MNATAKIWA KUTAMBUA TUNA BALOZI MPYA AMBAYE AMENZA KAZI MWISHONI MWA MWAKA JANA

PILI BALOZI JEMAS G BWANA TOKA AMEINGIA MADARAKANI AMEFANYA MAMBO MENGI KWA MUDA MCHACHE SASA TUNASHANGAA KUONA MNAANDIKA VITU KAMA HIVI BILA USHAHIDI WOWOTE

SISI TUMESHIRIKIANA NA UBALOZI WOTE WA SOUTH AFRICA ULIOPO PRETORIA KUPITIA BALOZI JAMES G BWANA KTK MATATIZO MBALI MBALI YA WATANZANIA SOUTH AFRICA

MWAKA JANA BALOZI JAMES G BWANA PAMOJA NA UBALOZI ULISIMAMIA ZOEZI ZIMA LA KUWASAFIRISHA NDUGU ZETU WATATU WALIO UNGUA NA MOTO JOHANNESBURG SOUTH AFRICA

BALOZI HAKUISHIA HAPO ALIKUJA NA MIILI MPAKA TANZANIA NA MIMI NI MMOJA WAPO NILIO KESHA NA BALOZI KUANZIA USIKU WA SAA SITA MPAKA ASUBUHI KTK KUKOMBOA MIILI YA NDUGU ZETU PALE SWISSPORT CARGO SERVICE

FROM THERE BALOZI ALIKABITHI HIYO MIILI KTK FAMILY.....

BADO BALOZI HAKUISHIA HAPO KUTOKANA USIKU ILIKUJA MIILI MIWILI NA MMOJA TUKAUPOKEA KESHO YAKE MCHANA

KWA HIYO BALOZI ALIKESHA USIKU NA MCHANA AIRPORT KUHAKIKISHA ANASHUGHULIKIA MIILI HIYO.......NA KUWAKABIDHI FAMILY

TUKIJA KTK SWALA LA YANGA

TUMEKUWA NA BALOZI KTK MAPOKEZI YA YANGA AIR POINT HATUA KWA HATUA SIONI KOSA LA BALOZI HAPO

BADO MH BALOZI AMEKUJA NA UTARATIBU WA KUTUPATIA PASSPORT TUKIWA SOUTH AFRICA

KINGINE CHENYE MANUFAA KWETU ZAIDI BALOZI AMETULETEA WATU WA BANK ILI TUWEZE KUFUNGIA ACCOUNT TUKIWA SOUTH AFRICA...

JUZI TULIKUWA NA KIKAO KUHUSU WATANZANIA WALIO PIGWA LENDELA.......

SASA SIJUI TUNATAKA BALOZI AFANYE NINI

HILA KWA SISI VIONGOZI WA MAJIMBO YOTE SOUTH AFRICA HATUNA SHIDA NA UBALOZI WETU KWA SASA

BALOZI ANATUSIKILIZA BALOZI ANATUDHAMINI HUO NDIO UKWELI

NINA MPAKA USHAHIDI WA PICHA BALOZI ALIVYO KESHA AIRPORT USIKU NACHANA KUKOMBOA MAITI ZILIZO TOKA SOUTH AFRICA.......

PIA TUNA PICHA ZA VIKAO BAINA YA UONGOZI WA MAJIMBO YOTE SOUTH AFRICA NA BALOZI

LENGO LA MIKUTANO HIYO AU VIKAO HIVYO NI JINSI GANI BALOZI ANAJARIBU KUTUSIHI KUWA KITU KIMOJA NA ANAHAKIKISHA WATANZANIA TUNAPATA VIBALI

MH JAMES G BWANA AMEFANYA MENGI SANA TENA KWA MUDA MCHACHE.......
Hongera kwa kuliweka sawa
Tusio jua tulikuwa tunaanza kuamini
Hongera sana
 
Wewe jamaa ni hakuna kitu kichwani; na kama kweli ni mtumishi wa Balozi unatakiwa kufukuzwa kazi immediately.

Hapa watu hawafanyi promotion za viongozi, wala taasisi. Unaongelea scenerio moja kati millions of issues zinazotokea South Africa. Hivi hata mna mechanism ya kujua yanayotokea kwa Watanzania Waliopo Jberg?

Au unataka tuanze kubishana kwa data na tuweke evidence, nimeshindwa kufanya hivyo kwa sababu ya usalama wa watu na ndugu zao. Kuna matukio mengi na ya kishenzi kwa watanzania na Balozi huwa haitoi statement zozote.

Ukiacha hilo, hata upande wa FURSA, balozi ya SA haifanyi jitihada zozote za kufungua mianya na uwekezaji au uletaji wa biashara Tanzania, watanzania wanaingia kwenye sembe kwa sababu wanaamini that is the only business inayo work kwa SA, wakati kuna biashara nyingi hata za layperson.

Wasauzi wapo wengi na wanafanya biashara sana TZ kwa smoothl na kwa msaada mkubwa wa balozi yao.

Cuba, balozi wake ni kijana na amefungua milango ming kwa watanzania iliwemo uingizaji wa dawa za binadamu etc etc.

Wake up
 
Hiyo habari ililetwa humu jamii forum.

Mimi niko Wanging'ombe mkoa wa Njombe.

Sekondari nilisoma Mara , Oswald Mang'ombe sec school.

Moja ya rafiki zangu humu JF ni Maghayo aliyeko Denmark kunakosifika kwa ufugaji wa ng'ombe .

Ila yeye anatokea Kilimanjaro,Boma ng'ombe
Ok
 
KWA MAJINA NAITWA MOHAMED TAIBALH MSANGI NI KIONGOZI WA SOUTH AFRICA KUPITIA CHAMA CHA TACOP TANZANIA COMMUNITY IN PRETORIA....

PIA NI KIONGOZI WA MABAHARIA SOUTH AFRICA......

NINGEPENDA KUWAJIBU HII POST YENU

KWANZA KABISA MNATAKIWA KUTAMBUA TUNA BALOZI MPYA AMBAYE AMENZA KAZI MWISHONI MWA MWAKA JANA

PILI BALOZI JEMAS G BWANA TOKA AMEINGIA MADARAKANI AMEFANYA MAMBO MENGI KWA MUDA MCHACHE SASA TUNASHANGAA KUONA MNAANDIKA VITU KAMA HIVI BILA USHAHIDI WOWOTE

SISI TUMESHIRIKIANA NA UBALOZI WOTE WA SOUTH AFRICA ULIOPO PRETORIA KUPITIA BALOZI JAMES G BWANA KTK MATATIZO MBALI MBALI YA WATANZANIA SOUTH AFRICA

MWAKA JANA BALOZI JAMES G BWANA PAMOJA NA UBALOZI ULISIMAMIA ZOEZI ZIMA LA KUWASAFIRISHA NDUGU ZETU WATATU WALIO UNGUA NA MOTO JOHANNESBURG SOUTH AFRICA

BALOZI HAKUISHIA HAPO ALIKUJA NA MIILI MPAKA TANZANIA NA MIMI NI MMOJA WAPO NILIO KESHA NA BALOZI KUANZIA USIKU WA SAA SITA MPAKA ASUBUHI KTK KUKOMBOA MIILI YA NDUGU ZETU PALE SWISSPORT CARGO SERVICE

FROM THERE BALOZI ALIKABITHI HIYO MIILI KTK FAMILY.....

BADO BALOZI HAKUISHIA HAPO KUTOKANA USIKU ILIKUJA MIILI MIWILI NA MMOJA TUKAUPOKEA KESHO YAKE MCHANA

KWA HIYO BALOZI ALIKESHA USIKU NA MCHANA AIRPORT KUHAKIKISHA ANASHUGHULIKIA MIILI HIYO.......NA KUWAKABIDHI FAMILY

TUKIJA KTK SWALA LA YANGA

TUMEKUWA NA BALOZI KTK MAPOKEZI YA YANGA AIR POINT HATUA KWA HATUA SIONI KOSA LA BALOZI HAPO

BADO MH BALOZI AMEKUJA NA UTARATIBU WA KUTUPATIA PASSPORT TUKIWA SOUTH AFRICA

KINGINE CHENYE MANUFAA KWETU ZAIDI BALOZI AMETULETEA WATU WA BANK ILI TUWEZE KUFUNGIA ACCOUNT TUKIWA SOUTH AFRICA...

JUZI TULIKUWA NA KIKAO KUHUSU WATANZANIA WALIO PIGWA LENDELA.......

SASA SIJUI TUNATAKA BALOZI AFANYE NINI

HILA KWA SISI VIONGOZI WA MAJIMBO YOTE SOUTH AFRICA HATUNA SHIDA NA UBALOZI WETU KWA SASA

BALOZI ANATUSIKILIZA BALOZI ANATUDHAMINI HUO NDIO UKWELI

NINA MPAKA USHAHIDI WA PICHA BALOZI ALIVYO KESHA AIRPORT USIKU NACHANA KUKOMBOA MAITI ZILIZO TOKA SOUTH AFRICA.......

PIA TUNA PICHA ZA VIKAO BAINA YA UONGOZI WA MAJIMBO YOTE SOUTH AFRICA NA BALOZI

LENGO LA MIKUTANO HIYO AU VIKAO HIVYO NI JINSI GANI BALOZI ANAJARIBU KUTUSIHI KUWA KITU KIMOJA NA ANAHAKIKISHA WATANZANIA TUNAPATA VIBALI

MH JAMES G BWANA AMEFANYA MENGI SANA TENA KWA MUDA MCHACHE.......
Safi sana Mkuu umeiweka vzr sana..uwe unapita humu kutujulisha ya huko maana tuna ndugu ,wadogo zetu na marafiki huko
 
kuna alot of senerios. SA ukifungwa lazima utafute mtu akutoe hata kwa minor cases. so usi seme tu all is well.. SA embassy should do better.
Eti minor cases. Mmezoea bongo mnaachiwa kila mnapoharibu, hata mnapokutwa na makosa ya ukiukwaji wa sheria ya usalama barabarani huwa mnaachiwa tu na traffic akichukua hatua mnamshangaa. SASA MNAPELEKA HAYO MAZOEA KWENYE NCHI ZA WATU. MKIFUNGWA MNAANZA KUULAUMU UBALOZI.

KIMSINGI HATA MIMI NITEULIWE LEO NA MHESHIMIWA RAIS KUPELEKWA KUWA BALOZI NITAWAPAMBANIA WALE TU WANAOSTAHILI. NYIE WENGINE MTAJIJU WENYEWE.

NYIE NDIO WALE KIPINDI CHA NYUMA MNAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA HALAFU MNAFUNGWA HUKO NA KUANZA KUTUPA LAWAMA KWA BALOZI
 
Maelezo kuhusu bus lililo haribika ktk mapokezi ya Yanga
 
Attachments

  • VID-20240404-WA0018.mp4
    21.1 MB
Back
Top Bottom