Ubalozi wa Tanzania uliopo Afrika Kusini ubadilishwe, kwa Miaka sasa amna kitu wanafanya

Wewe na Maghayo ni wapwa?
 
Balozi wa TZ south Africa ana kazi Sana, Nakumbuka niliwahi kusoma jarida Moja la uko south linaitwa Drum mwaka 1998/1999 Moja ya makala zake lilielezea kiwango Cha uhalifu kwa miaka iyo 98/99 kilikua juu sana.
kesi za miili iliyo kufa na kuokotwa Barbarani au maeneo mengine na kesi za ubakaji zilikua ni nyingi kupita kiasi.

Kwa mujibu wa makala iyo ilielezea polisi ilifikia hatua kama wakipata mwili uliokufa na wanafanya uchunguzi ndani ya wiki Moja na wakikosa ushahidi hawaendelei na uchunguzi kwakua matukio ni mengi.

Kitu ninacho fahamu kwasasa miili ya wa Tanzania inayo rudi nyumbani kwa njia ya ndege baada ya kufariki kwa namna mbalimbali kule South Africa kwa wiki haipungui 2.
Sijajua Ile miili inayo rudishwa kwa njia nyingine na Ile isiyo rudishwa kabisa, itakua mingapi kwa wiki.

Taarifa nilizo wahi kuzisikia siku za karibuni matukio ya uharifu yanayo husisha vifo na ubakaji yameongezeja zaidi kuliko miaka ya 98/99 wakati niliposoma ilo jarida.
Maana yake Balozi wa TZ kule South ukiacha shughuzake za kilasiku ana kazi pevu kwenye ishu ya misiba ya wa TZ.
 
Balozi na maafsa wake wote wamekwenda kula pasaka wamebaki walinzi,january mmebugi ni mlinda wazembe!
 
Wewe pelekwa tu tena gerezani ukitegemea balozi aje kukutoa. Kuhusu hilo la.kuwaacha mkae gerezani hata mimi naunga mkono ILI MKOME KUKIUKA TARATIBU ZA WATU.

NAUSHAURI UBALOZI UWASAIDIE TU WALE WENYE HAKI NA SIO NYIE WAZAMIAJI NA WAHALIFU MKIWA HUKO
 
 
Dah, kwa kweli Ubalozi unahitaji pongezi. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kaka umefanya la maana sana kuliweka hili wazi. Nakumbuka hata sisi Cape Town walikuja wadada wawili maafisa kutoka Ubalozi pretolia wakatusajili wenye matatizo ya pasipoti kama unavyotuelewa wabongo. Kuhusu suala la vifo bro unaelewa huku misiba kila siku,kila sikutunazika na kusafirisha kwa wiki hata mara tatu we unaelewa, hapo sasa balozi ajigawaje, bado miji mingine. Sasa hawa wanaoibuka na kulalamika sijui wanaishi aflika Kusini ipi,tujifunze shukrani jamani na tupunguze kulalamika
 
Safi Sana mkuu, tusaidie na mawasiliano yako Kama itakupendeza, Kuna watoto wa kituo chetu Cha michezo walikuja majaribio huko na wakafaulu ila utapeli unataka kufanyika. Naomba mawasiliano Yako Maana siwezi kuweka Kila kitu wazi hapa
 

Upo sahihi. Nadhan balozi yetu ni wahuni. Yaani kama balozi haifanyi kazi,balaoz inaishi kihuni sana hiyo. Baloz nzima
Ifumuliwe, kuna fursa nyingi lakini hao jamaa wanakula ngadaa tu. Nilishawahi kufika hapo ni Kama ofisi ya wahuni na genge la matapeli

Watanzania wengi snaa wanapata shida na hawapat msaada wowote ; moja ya balozi mbaya kabisa kuwah kutokea ni hiyo , na Sidhan Kama hata Rais anaitembelea.

Yaani Tanzania ni Kama haina Ubaloz SA,
 
Hongera kwa kuliweka sawa
Tusio jua tulikuwa tunaanza kuamini
Hongera sana
 

Wewe jamaa ni hakuna kitu kichwani; na kama kweli ni mtumishi wa Balozi unatakiwa kufukuzwa kazi immediately.

Hapa watu hawafanyi promotion za viongozi, wala taasisi. Unaongelea scenerio moja kati millions of issues zinazotokea South Africa. Hivi hata mna mechanism ya kujua yanayotokea kwa Watanzania Waliopo Jberg?

Au unataka tuanze kubishana kwa data na tuweke evidence, nimeshindwa kufanya hivyo kwa sababu ya usalama wa watu na ndugu zao. Kuna matukio mengi na ya kishenzi kwa watanzania na Balozi huwa haitoi statement zozote.

Ukiacha hilo, hata upande wa FURSA, balozi ya SA haifanyi jitihada zozote za kufungua mianya na uwekezaji au uletaji wa biashara Tanzania, watanzania wanaingia kwenye sembe kwa sababu wanaamini that is the only business inayo work kwa SA, wakati kuna biashara nyingi hata za layperson.

Wasauzi wapo wengi na wanafanya biashara sana TZ kwa smoothl na kwa msaada mkubwa wa balozi yao.

Cuba, balozi wake ni kijana na amefungua milango ming kwa watanzania iliwemo uingizaji wa dawa za binadamu etc etc.

Wake up
 
Ok
 
Safi sana Mkuu umeiweka vzr sana..uwe unapita humu kutujulisha ya huko maana tuna ndugu ,wadogo zetu na marafiki huko
 
kuna alot of senerios. SA ukifungwa lazima utafute mtu akutoe hata kwa minor cases. so usi seme tu all is well.. SA embassy should do better.
Eti minor cases. Mmezoea bongo mnaachiwa kila mnapoharibu, hata mnapokutwa na makosa ya ukiukwaji wa sheria ya usalama barabarani huwa mnaachiwa tu na traffic akichukua hatua mnamshangaa. SASA MNAPELEKA HAYO MAZOEA KWENYE NCHI ZA WATU. MKIFUNGWA MNAANZA KUULAUMU UBALOZI.

KIMSINGI HATA MIMI NITEULIWE LEO NA MHESHIMIWA RAIS KUPELEKWA KUWA BALOZI NITAWAPAMBANIA WALE TU WANAOSTAHILI. NYIE WENGINE MTAJIJU WENYEWE.

NYIE NDIO WALE KIPINDI CHA NYUMA MNAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA HALAFU MNAFUNGWA HUKO NA KUANZA KUTUPA LAWAMA KWA BALOZI
 
Maelezo kuhusu bus lililo haribika ktk mapokezi ya Yanga
 

Attachments

  • VID-20240404-WA0018.mp4
    21.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…