Ubalozi wa Tanzania US ni vituko tupu

Ubalozi wa Tanzania US ni vituko tupu

Wa kulaumiwa ni hawa ndugu zangu yaani wamepoteza alama ya uongozi,, kwa sasa imekuwa kama kupewa uongozi kama fadhila fulani au sehemu ya asante ya CCM,,
Jamani tusipokuwa makini na ndugu twafwaaaaa!!!!
 
aisee watu huko wana miezi nane hawajapata passport zao.
 
Nimefatilia mjadala mwanzo mwisho tatizo sio wafanyakazi balozini tatizo ujuaji wa baadhi ya wabango wakitoka nje ya nchi wanajiona ni watanzania pro max wanajiona wao wanapaswa kunyenyekewa kwasabu ni zaidi ya Raia ukiwasikiliza hata ongea yao wanaongea kiswanglish ushamba mtupu,nakumbuka JK aliulizwa swali na mtanzania anayeishi ughaibuni kwamba akirudi nyumbani serekali imewaandalia mazingiragani kisa wameishi ughaibuni hata kama wame ovar stay,kwa mentality hizi mkikutana huko balozini kilamtu mjuaji anajiona ni zaidi ya mwenzake lazima mzinguane
 
Mimi niko hapa nchi jirani wakuu.

nataka niwaambie , ubalozi w huku wanasherkea mpaka sherehe za chama tawala.....mtumishi wa balozi kavaa shati la ccm
 
Tusitegemee ufanisi kwenye balozi zetu,hizo nafasi zinatolewa kwa fadhila tu,ni kama huyu balozi mpya wa Zimbabwe,huku kavuruga ndio anapelekwa huko
 
balozi zetu si kwa ajili ya watz, hakuna mtz anaejua kazi zao, ukienda kubadili passport wanakwambia kama imeisha muda rudi home ukaprocess!, mtu akipata tatizo ukiripoti wanakwambia hatuna cha kusaidia pambaneni!
Kuna vibibi vimeajiriwa ubalozi hutuelewi kazi zao, kuna mabishoo kwenye mabalozi nyingi hawajui service hata moja for Tanzanians zaidi ya kukwambia chukua Mwewe "rudi home" ukasolve!
 
Back
Top Bottom