balozi zetu si kwa ajili ya watz, hakuna mtz anaejua kazi zao, ukienda kubadili passport wanakwambia kama imeisha muda rudi home ukaprocess!, mtu akipata tatizo ukiripoti wanakwambia hatuna cha kusaidia pambaneni!
Kuna vibibi vimeajiriwa ubalozi hutuelewi kazi zao, kuna mabishoo kwenye mabalozi nyingi hawajui service hata moja for Tanzanians zaidi ya kukwambia chukua Mwewe "rudi home" ukasolve!