Tetesi: Ubalozi wa Tanzania Uturuki unashirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwadeport Watanzania

Umoja uliopo unashirikiana na ubalozi kwaiyo usitehemee kupata msada kutoka kwao
Lakini, Je, hiyo ni kazi ya Balozi wa nchi ktk kushughulikia suala lako binafsi la ku-renew Viza yako wakati ukiwa huko ugenini nje ya nchi ya Tanzania??????
Wewe mwenyewe binafsi ulikuwa wapi hasa hadi Viza yako inaisha muda wake? Ulichukua hatua zipi mapema ktk kushughulikia suala hili??

Nafikiri tunatakiwa tuwe wakweli, tuzilaumu Ofisi za Ubalozi kwa sababu ambazo ni za kweli, haki na halali. Siyo kuwapa lawama za kipuuzi kama hizi.
 
Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini umo na kuwarudisha Tanzania.

Mchezo upo hivi Mtanzania akikamatwa na polisi kama hana makaratasi anapelekwa kituoni akifika kituoni polisi wanapiga simu ubalozini wanaongea nao kituruki sijui wanaongeaga nini baadae wanakupa sim unaongea na ubarozi.

Ukiongea na ubalozi unakuchombeza unakufariji mtu unafarijika unazani ukimaliza kuongea na ubalozi polisi watakutoa kumbe ndo imekula kwako hiyo kesho unatumiwa passport unarudishwa Tanzania utake usitake.

Ubalozi aukutetei ndo kwanza wanashirikiana na polisi. Vijana wengi wanaoishi Uturuki ambao awana makaratasi awatoki nje wanaogopa kukamatwa na polisi.

Ukikamatwa ujue ndiyo safari ya Tanzania imewadia na ubarozi aukutetei. Kama ubalozi unashindwa kutetea raia zake kazi ya ubarozi inakua nini?
Kwa nini unasema ni Mtz?
 
Balozi unakuteteaje mzamiaji.
Ni ajabu Sana.
Watanzania sijui wapoje?!!!!
Kwanza aliwezaje kuishi huko nje ya nchi bila ya kuwa na Passport ya kusafiria? Alikuwa anajihisi kuwa na amani kabisa ktk maisha yake kuishi bila Passport wala bila kuwa na vibali halali vya uhamiaji huko ugenini???????
 
Mkuu hata kuwapokelea simu hao waturuki na kukupatia passport uweze kurudi nyumbani salama ni jambo la kushukuru sana.
 
Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini umo na kuwarudisha Tanzania.

Mchezo upo hivi Mtanzania akikamatwa na polisi kama hana makaratasi anapelekwa kituoni akifika kituoni polisi wanapiga simu ubalozini wanaongea nao kituruki sijui wanaongeaga nini baadae wanakupa sim unaongea na ubarozi.

Ukiongea na ubalozi unakuchombeza unakufariji mtu unafarijika unazani ukimaliza kuongea na ubalozi polisi watakutoa kumbe ndo imekula kwako hiyo kesho unatumiwa passport unarudishwa Tanzania utake usitake.

Ubalozi aukutetei ndo kwanza wanashirikiana na polisi. Vijana wengi wanaoishi Uturuki ambao awana makaratasi awatoki nje wanaogopa kukamatwa na polisi.

Ukikamatwa ujue ndiyo safari ya Tanzania imewadia na ubarozi aukutetei. Kama ubalozi unashindwa kutetea raia zake kazi ya ubarozi inakua nini?
Ila mtanzania na nyani hawana tofauti no wonder CCM inatawala nchi hii.... seriously unataka balozi atetee mtu asiye na karatasi au anayeishi nchi za watu illegally?

Haki mna usaha vichwani.
 
Jinga sana hili , Shukuru ata una rudishwa TZ kuliko kuuwawa kimya kimya
 
Wazamiaji jitahidini kabla ya kuzamia huko mmalize angalau form 4, hii elimu itawasaidia sana. We ushasema huna makaratasi halafu unataka ubalozi waseme walikutuma wao uachwe ama.
 
Ujinga wa deportation ukifika uko unakutana na mashtaka eti umeondoka nchini bila ninisijui, unatajiwa fine kama huna unapigwa miezi kadha segerea.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Ni upuuzi wa kukumbatia Sheria mbaya zisizofaa kwa hapa nyumbani Tanzania.
Siyo kila mtu ambaye amekuwa deported huko nje ya nchi basi ni mhalifu. Zipo sababu nyingi za mtu kuweza kuwa deported out of the particular country.
 
Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini umo na kuwarudisha Tanzania.

Mchezo upo hivi Mtanzania akikamatwa na polisi kama hana makaratasi anapelekwa kituoni akifika kituoni polisi wanapiga simu ubalozini wanaongea nao kituruki sijui wanaongeaga nini baadae wanakupa sim unaongea na ubarozi.

Ukiongea na ubalozi unakuchombeza unakufariji mtu unafarijika unazani ukimaliza kuongea na ubalozi polisi watakutoa kumbe ndo imekula kwako hiyo kesho unatumiwa passport unarudishwa Tanzania utake usitake.

Ubalozi aukutetei ndo kwanza wanashirikiana na polisi. Vijana wengi wanaoishi Uturuki ambao awana makaratasi awatoki nje wanaogopa kukamatwa na polisi.

Ukikamatwa ujue ndiyo safari ya Tanzania imewadia na ubarozi aukutetei. Kama ubalozi unashindwa kutetea raia zake kazi ya ubarozi inakua nini?
Kwanini uende Bila makaratasi
 
Back
Top Bottom