JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Serikali imeshindwa kuwekeza mamilion kwene hii App iweze kufikisha agenda duniani.Leo Agosti 2, 2024, JamiiForums (JF) imepata ugeni kutoka Ubalozi wa Ufaransa ukiongozwa na Naibu Balozi Axel Guillon ambaye amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi pamoja na Watendaji wa JF
Guillon amepata nafasi kujionea jinsi JF inavyoendesha shughuli zake pamoja na kujadiliana na Uongozi juu ya namna ya kuimarisha na kuendeleza ushirikiano wa Kimkakati kati ya pande zote mbili
View attachment 3059872View attachment 3059868View attachment 3059869View attachment 3059870View attachment 3059871
Mungu wabariki WazunguLeo Agosti 2, 2024, JamiiForums (JF) imepata ugeni kutoka Ubalozi wa Ufaransa ukiongozwa na Naibu Balozi Axel Guillon ambaye amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi pamoja na Watendaji wa JF
Guillon amepata nafasi kujionea jinsi JF inavyoendesha shughuli zake pamoja na kujadiliana na Uongozi juu ya namna ya kuimarisha na kuendeleza ushirikiano wa Kimkakati kati ya pande zote mbili
View attachment 3059872View attachment 3059868View attachment 3059869View attachment 3059870View attachment 3059871
Tunatoa Wito kwa mabalozi wa nchi za kidikteta za kiafrica waje JF kujifunza Demokrasia, WasiogopeAisee!
Ndio wanalipwa kupitia hilo,. Wakitupiga ban walau wanaonekana wamefanya kituUkute mkuda anae block watu wa ovyo ni moja ya mabinti hapo. Hata hawafananii kuwa na roho mbaya.View attachment 3059879
Hao akina Paw na Moderator wote wamepata ajira kupitia humu jukwaani Jamii Opportunitiesajira hapo zinapatikana vipi ? mbona hatujawahi kuona zikitangazwa
Miili mingine hainaga shukraniKwahiyo Max ndio amegoma kabisa kunenepa? Ok
Anajiendekeza bhana,. Picha zake za toka 2007 yukogo hivyohivyo tuMiili mingine hainaga shukrani