Ubalozi wa Ufaransa waitembea JamiiForums

1722621495486.png

Wewe dada mwenye nguo nyeusi sogea pembeni kidogo na mwenzako aonekane kwenye picha
 
Leo Agosti 2, 2024, JamiiForums (JF) imepata ugeni kutoka Ubalozi wa Ufaransa ukiongozwa na Naibu Balozi Axel Guillon ambaye amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi pamoja na Watendaji wa JF

Guillon amepata nafasi kujionea jinsi JF inavyoendesha shughuli zake pamoja na kujadiliana na Uongozi juu ya namna ya kuimarisha na kuendeleza ushirikiano wa Kimkakati kati ya pande zote mbili

View attachment 3059872View attachment 3059868View attachment 3059869View attachment 3059870View attachment 3059871
Safi sana. Lakini kwanini mnashindwa kuwa makini kwenye vitu vidogo vidogo. Hata kichwa cha Habari mnakosea kuandika, kwani mnakimbilia wapi na hakuna mtu wa kukagua kabla hamjapost?
"Ubalozi wa Ufaransa waitembea JamiiForums "
 
Mods mpiga ban yule pale kichwa kama sigara kali, hao wageni waondoke kama walivyokuja wasije kuwaachia vilainishi ofisini.
 
Mods sms za wasap mnaziblue tick kama watoto wa college.nikilog in mnaniambia niwacheki wasap au telegram.kwanini mnanitenda hivi?
 
Leo Agosti 2, 2024, JamiiForums (JF) imepata ugeni kutoka Ubalozi wa Ufaransa ukiongozwa na Naibu Balozi Axel Guillon ambaye amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi pamoja na Watendaji wa JF

Guillon amepata nafasi kujionea jinsi JF inavyoendesha shughuli zake pamoja na kujadiliana na Uongozi juu ya namna ya kuimarisha na kuendeleza ushirikiano wa Kimkakati kati ya pande zote mbili

View attachment 3059872View attachment 3059868View attachment 3059869View attachment 3059870View attachment 3059871
Nisalimieni huyo aliyevaa top ya kijani.

Mali Safi kabisa.
 
Leo Agosti 2, 2024, JamiiForums (JF) imepata ugeni kutoka Ubalozi wa Ufaransa ukiongozwa na Naibu Balozi Axel Guillon ambaye amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi pamoja na Watendaji wa JF

Guillon amepata nafasi kujionea jinsi JF inavyoendesha shughuli zake pamoja na kujadiliana na Uongozi juu ya namna ya kuimarisha na kuendeleza ushirikiano wa Kimkakati kati ya pande zote mbili

View attachment 3059872View attachment 3059868View attachment 3059869View attachment 3059870View attachment 3059871
Hao wasije tuaribia jf yetu ..siwaamini wazungu kabisa .washaona jf inazid kua na ushawishi .nitoe rai wawe making wasije tumia jukwaa vibaya kueneza mambo yao ya upinde
 
Back
Top Bottom