Ubalozi wa Ufaransa waitembea JamiiForums

Safi sana. Lakini kwanini mnashindwa kuwa makini kwenye vitu vidogo vidogo. Hata kichwa cha Habari mnakosea kuandika, kwani mnakimbilia wapi na hakuna mtu wa kukagua kabla hamjapost?
"Ubalozi wa Ufaransa waitembea JamiiForums "
 
Mods mpiga ban yule pale kichwa kama sigara kali, hao wageni waondoke kama walivyokuja wasije kuwaachia vilainishi ofisini.
 
Mods sms za wasap mnaziblue tick kama watoto wa college.nikilog in mnaniambia niwacheki wasap au telegram.kwanini mnanitenda hivi?
 
Nisalimieni huyo aliyevaa top ya kijani.

Mali Safi kabisa.
 
Hao wasije tuaribia jf yetu ..siwaamini wazungu kabisa .washaona jf inazid kua na ushawishi .nitoe rai wawe making wasije tumia jukwaa vibaya kueneza mambo yao ya upinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…