A
Anonymous
Guest
Ubalozi wa uturuki umekuwa ukiwanyima watu visa bila kuwaeleza sababu za msingi za kukosa visa hata kama una documents zote bado unaweza ukakosa visa.
Hii sio hali ya kawaida ukizingatia visa zao ni gharama na isitoshe unatakiwa kulipa kwa dola na upatikanaji wa dola ni shida. Unatoa dola 200 na bado unakosa visa.
Kama kuna masuala ya kidiplomasia watueleze tusiendelee kutupa pesa.