ubalozi wa uturuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hili jengo pembeni ya ubalozi wa uturuki njia ya Coco beach ni la nini/Nani?

    Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ubalozi wa Uturuki unawanyima watu visa bila kuwaeleza sababu za msingi

    Ubalozi wa uturuki umekuwa ukiwanyima watu visa bila kuwaeleza sababu za msingi za kukosa visa hata kama una documents zote bado unaweza ukakosa visa. Hii sio hali ya kawaida ukizingatia visa zao ni gharama na isitoshe unatakiwa kulipa kwa dola na upatikanaji wa dola ni shida. Unatoa dola 200...
Back
Top Bottom