ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
Kuna Hekalu hapo ?!!!! Au hizo herufi ndio Hekalu ? Tumia hicho kitubwasha cha attach files upandishe hilo Hekalu (unaweza kuliita Hekalu kumbe ni Msonge tu)Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client NI Nani?msaada wajuvi wa mambo NI ubalozi, apartment,msikiti,au nyumba ya mtu.
Hilo lilikuwa na muhindi mmoja anaitwa Tanil yule mwenye kampuni ya shivacom, kwa sasa marehemu. Tetesi: familia ya Bakhressa ndio imenunuaKwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client NI Nani?msaada wajuvi wa mambo NI ubalozi, apartment,msikiti,au nyumba ya mtu.
Jengo ni nzuri na limekaa sehemu nzuri sana kuuza sura..walitendee haki kwenye finishing tu.Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
Tafuta bwana akuhongeJengo ni nzuri na limekaa sehemu nzuri sana kuuza sura..walitendee haki kwenye finishing tu.