Uchaguzi 2020 Ubalozi wetu nchini Marekani utoe tamko kwa ajili ya mwenendo wa Uchaguzi Marekani

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Ni muhimu ubalozi wa Tanzania Nchini marekani ukatuwakilisha vyema kwa kutoa tamko rasmi la jinsi mwenendo wa uchaguzi unavyoendelea nchini Marekani.
Ni muhimu kuwaasa wagombea urais huko marekani kuacha kutupiana maneno bali wanadi sera zao.
 
Marekani kuna demokrasia na wanajitambua na kufuata sheria hawana shida yoyote wale ni ma-papa wa demokrasia duniani tunapaswa kuwasikiliza na kuwaacha watusimamie manake bado wachanga kidemokrasia. Tunaunga mkono tamko la Marekani juu ya udhalimu unaoendelea katika uchaguzi wa Tanzania.
 
kabla hawajatunyooshea vidole wawaambie maswahiba zao mazayuni waache dhulma juu wa wapalestina
 
Ni muhimu ubalozi wa Tanzania Nchini marekani ukatuwakilisha vyema kwa kutoa tamko rasmi la jinsi mwenendo wa uchaguzi unavyoendelea nchini Marekani.
Ni muhimu kuwaasa wagombea urais huko marekani kuacha kutupiana maneno bali wanadi sera zao.

Jingalao katika ubora wake
 
Ni muhimu ubalozi wa Tanzania Nchini marekani ukatuwakilisha vyema kwa kutoa tamko rasmi la jinsi mwenendo wa uchaguzi unavyoendelea nchini Marekani.
Ni muhimu kuwaasa wagombea urais huko marekani kuacha kutupiana maneno bali wanadi sera zao.
Naskia kuna Manowari vita imeshapiga kambi karibu na Tanzania. Seal Team 6 wako standby kuja kumchukua mtuhumiwa wao wa mauaji na ukatili dhidi ya watanzania
 
Ni muhimu ubalozi wa Tanzania Nchini marekani ukatuwakilisha vyema kwa kutoa tamko rasmi la jinsi mwenendo wa uchaguzi unavyoendelea nchini Marekani.
Ni muhimu kuwaasa wagombea urais huko marekani kuacha kutupiana maneno bali wanadi sera zao.
Iyo taarifa atasoma uyo balozi na wafanyakazi wenzake. We unaijua marekani ila kuna wamarekani wengi sana hawajui ata kama kuna ka nchi kanaitwa Tanzania na inapatikana bara gani . Na hata wanaoijua wakiona iyo taarifa wataishia kucheka sana .
 
Ni muhimu ubalozi wa Tanzania Nchini marekani ukatuwakilisha vyema kwa kutoa tamko rasmi la jinsi mwenendo wa uchaguzi unavyoendelea nchini Marekani.
Ni muhimu kuwaasa wagombea urais huko marekani kuacha kutupiana maneno bali wanadi sera zao.
Hahaha eti mmasai amshauri Muhaya kuzingatia masomo hahaha
 
Hivi takataka kama ile (masenti) itasikilizwa na nani pale USA?
 
US is a sovereignty state.......
Tanzania is a Sovereignty state.....
Burundi is a sovereignty state....
Germany is a sovereignty state.....
Malawi is a sovereignty state.......
France also is a sovereignty state.....

But are we real in the same level ,especially Africans countries? Even if we've our own national flag,composed our national anthem, when President's of this countries meet, there's 21 gun salutes.......

But,nikweli tupo sawa tunaweza kuwahoji hawa?
 
janga la Covid 19 lilituonesha uhuru kamili wanchi yetu
 
  • Thanks
Reactions: len
Yaani ni Kama kusema "kwa kuwa mama yako anaenda kulala na baba, basi na wewe unataka ulale na Mama yako"
 
Ni muhimu ubalozi wa Tanzania Nchini marekani ukatuwakilisha vyema kwa kutoa tamko rasmi la jinsi mwenendo wa uchaguzi unavyoendelea nchini Marekani.
Ni muhimu kuwaasa wagombea urais huko marekani kuacha kutupiana maneno bali wanadi sera zao.

..pia Balozi Masilingi awashauri Polisi wa Marekani wampige mabomu ya machozi mgombea wa upinzani, Joe Biden.
 
Back
Top Bottom