Uchaguzi 2020 Ubalozi wetu nchini Marekani utoe tamko kwa ajili ya mwenendo wa Uchaguzi Marekani

Marekani kuna demokrasia na wanajitambua na kufuata sheria hawana shida yoyote wale ni ma-papa wa demokrasia duniani tunapaswa kuwasikiliza na kuwaacha watusimamie manake bado wachanga kidemokrasia. Tunaunga mkono tamko la Marekani juu ya udhalimu unaoendelea katika uchaguzi wa Tanzania.
ni kwasababu hauna haki ya kuwambia marekani chochote kile. Ila wao wanahaki ya kukushauri chochote kile. Na ukijaribu kuwashauri marekani watakuita gaidi.
Sasa hiyo ndio haki ambayo mungeitafuta
 
Ni muhimu ubalozi wa Tanzania Nchini marekani ukatuwakilisha vyema kwa kutoa tamko rasmi la jinsi mwenendo wa uchaguzi unavyoendelea nchini Marekani.
Ni muhimu kuwaasa wagombea urais huko marekani kuacha kutupiana maneno bali wanadi sera zao.
Ulishawahi kupeleka misaada kwao?
 
Ni muhimu ubalozi wa Tanzania Nchini marekani ukatuwakilisha vyema kwa kutoa tamko rasmi la jinsi mwenendo wa uchaguzi unavyoendelea nchini Marekani.
Ni muhimu kuwaasa wagombea urais huko marekani kuacha kutupiana maneno bali wanadi sera zao.
Wewe umeshawahi kumsikia Rais Trump akitishia wapigakura kuwa wasipo mchagulia mwakilishi wa chama chake hatawapelekea maendeleo? Angefanya hivyo angeonekana kuwa kiongozi mjinga asiyekuwa na uelewa juu ya dhamana ya uraisi anayoitumikia.

Balozi wetu kule aendelee tu kutangaza fursa za utalii zilizopo hapa nchini na kufanya ushawishi kwa wawekezaji waje hapa nchini. Ingawaje kwa taarifa wanazozipata kupitia ubalozi wao hapa nchini hupigwa na butwaa kusikia Rais anayemaliza muda wake hapa nchini anawapiga mkwara na kuwatisha wapigakura kuwa atawanyima maendeleo.

Pengine hii nayo itakuwa ni fursa ya utalii kwao. Itawapasa kuja hapa nchini ili kuweza kutaka kushuhudia uwepo wa mtu wa namna hii ktk karne hii ya 21.
 
Ni sawa na timu ya mpira ya kijijini Chato itoe tamko kuhusu timu ya Manchester United F.C
 
Ni muhimu ubalozi wa Tanzania Nchini marekani ukatuwakilisha vyema kwa kutoa tamko rasmi la jinsi mwenendo wa uchaguzi unavyoendelea nchini Marekani.
Ni muhimu kuwaasa wagombea urais huko marekani kuacha kutupiana maneno bali wanadi sera zao.
Andika tamko peleka ubalozini walisome
 
Naskia kuna Manowari vita imeshapiga kambi karibu na Tanzania. Seal Team 6 wako standby kuja kumchukua mtuhumiwa wao wa mauaji na ukatili dhidi ya watanzania
Kipindi hikohiko Mchina na Mrusi wanaichungulia hio manowari wawatimue kama walivyowatimua huko Syria........this is the East......hao West wakasake machaka mengine
 
Ni muhimu ubalozi wa Tanzania Nchini marekani ukatuwakilisha vyema kwa kutoa tamko rasmi la jinsi mwenendo wa uchaguzi unavyoendelea nchini Marekani.
Ni muhimu kuwaasa wagombea urais huko marekani kuacha kutupiana maneno bali wanadi sera zao.
Yani ninyi wapuuzi kweli ,watu wapo smart kwenye mambo yao sasa Tamko lenu labda liwe la kupongeza
 
Mkuu umenichekesha sana,anyway tumuombee JPM kura ashinde kwa kishindo hayo ya USA tuachane nayo wasitutoe kwenye reli.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Kipindi hikohiko Mchina na Mrusi wanaichungulia hio manowari wawatimue kama walivyowatimua huko Syria........this is the East......hao West wakasake machaka mengine
Mchina huyu huyu mliomnyima kujenga bandari bagamoyo???!

Alafu unamsema mrusi yupi??? Huyu ambaye kachakaa kiuchumi na hana military installations Africa Mashariki???

Hujui Hapo Mombasa na Djibouti Mmarekani ameweka military installations na bases za kutisha??? Unajua kwa juu tu pale kuna mshirika no 1 wa Marekani duniani Taifa la Mungu Israel???

Nadhani unahadithiwa tu juu ya Marekani. Hawajui vizuri!
 
Juu wapi......hapo juu pia tuna Israel yetu ya Afrika ambayo ni Ethiopia ambayo hao mabwana zenu hawakuwahi kuitawala kabisaaa.........unajua chuo cha CCM hapo Kibaha ni ushirikiano na mchina? Mchina mwenyewe anajua asingeweza kupata kiti cha kudumu UN bila kashkash zetu Afrika.............huyo Mrusi kwa sasa anamkimbiza marekani upande wa silaha Mmarekani mwenyewe anatepeta huku pembeni anakimbizwa na China kiuchumi....inshort mambo yanabadilika nguvu inaelekea East zaidi hao West sa hv wamebaki kubwabwaja tu.........Hapo Syria tu hao mabwana zenu wametolewa kamasi, Iran anaendelea kufanya yake hao mabwana zenu wanabweka tu.............nyie kaeni Msubirieni Marekani aje kuwapiga bust wakati yeye mwenyewe alikua analia Trump aliwekwa kwa Mkono wa mrusi....mtasubiri sana Meli airport...

Tanzania, China have enjoyed rock-solid relations for 55 years: minister - Xinhua | English.news.cn
138006451_15561590812581n.jpg
 
Mchina huyu huyu mliomnyima kujenga bandari bagamoyo???!

Alafu unamsema mrusi yupi??? Huyu ambaye kachakaa kiuchumi na hana military installations Africa Mashariki???

Hujui Hapo Mombasa na Djibouti Mmarekani ameweka military installations na bases za kutisha??? Unajua kwa juu tu pale kuna mshirika no 1 wa Marekani duniani Taifa la Mungu Israel???

Nadhani unahadithiwa tu juu ya Marekani. Hawajui vizuri!
Nyie mnawajua vizuri Marekani ndo maana hadi mnasapoti ushoga
 
Ni muhimu ubalozi wa Tanzania Nchini marekani ukatuwakilisha vyema kwa kutoa tamko rasmi la jinsi mwenendo wa uchaguzi unavyoendelea nchini Marekani.
Ni muhimu kuwaasa wagombea urais huko marekani kuacha kutupiana maneno bali wanadi sera zao.
Wataanzia wapi..
 
Yani ninyi wapuuzi kweli ,watu wapo smart kwenye mambo yao sasa Tamko lenu labda liwe la kupongeza
Inapima usmartness wa watu kwa njia gani?
mbona kwenye corona waling'ang'ania lockdown
 
Back
Top Bottom