Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Tena subiria bungeni tupate 2/3 mtafurahi sana na huyo Mmarekani wenuMchina huyu huyu mliomnyima kujenga bandari bagamoyo???!
Alafu unamsema mrusi yupi??? Huyu ambaye kachakaa kiuchumi na hana military installations Africa Mashariki???
Hujui Hapo Mombasa na Djibouti Mmarekani ameweka military installations na bases za kutisha??? Unajua kwa juu tu pale kuna mshirika no 1 wa Marekani duniani Taifa la Mungu Israel???
Nadhani unahadithiwa tu juu ya Marekani. Hawajui vizuri!
Wewe unaongea kis**e demokrasia ipi wakati Trump akitangazia umma kuwa hataachia madaraka kwa mshindi wa uchaguzi tofauti na yeye?Marekani kuna demokrasia na wanajitambua na kufuata sheria hawana shida yoyote wale ni ma-papa wa demokrasia duniani tunapaswa kuwasikiliza na kuwaacha watusimamie manake bado wachanga kidemokrasia. Tunaunga mkono tamko la Marekani juu ya udhalimu unaoendelea katika uchaguzi wa Tanzania.
.Marekani kuna demokrasia na wanajitambua na kufuata sheria hawana shida yoyote wale ni ma-papa wa demokrasia duniani tunapaswa kuwasikiliza na kuwaacha watusimamie manake bado wachanga kidemokrasia. Tunaunga mkono tamko la Marekani juu ya udhalimu unaoendelea katika uchaguzi wa Tanzania.
Acha basi ushabiki wa kukariri kama hufuatilii International news! Shinda ya kuwa na mawazo mgando ya kikoloniMarekani kuna demokrasia na wanajitambua na kufuata sheria hawana shida yoyote wale ni ma-papa wa demokrasia duniani tunapaswa kuwasikiliza na kuwaacha watusimamie manake bado wachanga kidemokrasia. Tunaunga mkono tamko la Marekani juu ya udhalimu unaoendelea katika uchaguzi wa Tanzania.
kabla hawajatunyooshea vidole wawaambie maswahiba zao mazayuni waache dhulma juu wa wapalestina
Ipi?Marekani kuna demokrasia na wanajitambua na kufuata sheria hawana shida yoyote wale ni ma-papa wa demokrasia duniani tunapaswa kuwasikiliza na kuwaacha watusimamie manake bado wachanga kidemokrasia. Tunaunga mkono tamko la Marekani juu ya udhalimu unaoendelea katika uchaguzi wa Tanzania.
UongoMarekani kuna demokrasia na wanajitambua na kufuata sheria hawana shida yoyote wale ni ma-papa wa demokrasia duniani tunapaswa kuwasikiliza na kuwaacha watusimamie manake bado wachanga kidemokrasia. Tunaunga mkono tamko la Marekani juu ya udhalimu unaoendelea katika uchaguzi wa Tanzania.
Hamna lolote, ndoto za mchana tuMwaka huu mtahamisha sana magoli,lakini kipigo na ICC ipo pale pale
ni kwasababu hauna haki ya kuwambia marekani chochote kile. Ila wao wanahaki ya kukushauri chochote kile. Na ukijaribu kuwashauri marekani watakuita gaidi.
Sasa hiyo ndio haki ambayo mungeitafuta
Sema tuwawekee vikwazo kabisa hao wamarekani. Tamko halitasaidia kitu. Balozi wao nchini afukuzwe na wetu arejeshwe nyumbaniNi muhimu ubalozi wa Tanzania Nchini marekani ukatuwakilisha vyema kwa kutoa tamko rasmi la jinsi mwenendo wa uchaguzi unavyoendelea nchini Marekani.
Ni muhimu kuwaasa wagombea urais huko marekani kuacha kutupiana maneno bali wanadi sera zao.
Hivi unaendelea na ile huduma ya maji?Marekani kuna demokrasia na wanajitambua na kufuata sheria hawana shida yoyote wale ni ma-papa wa demokrasia duniani tunapaswa kuwasikiliza na kuwaacha watusimamie manake bado wachanga kidemokrasia. Tunaunga mkono tamko la Marekani juu ya udhalimu unaoendelea katika uchaguzi wa Tanzania.
Maji gani?Hivi unaendelea na ile huduma ya maji?