Ubandue wa wenzio tuuu, wako asibanduliwe? Haipo hiyo!!

Ubandue wa wenzio tuuu, wako asibanduliwe? Haipo hiyo!!

Ukitaka kula lazma uliwe, wanaokubali waseme ndio wasiokubali waseme sio....

Mwanaume unapokua unagegeda mke wa mwenzio, unamgeuza geuza kama chapati, unamkunja na kumkunjua, jasho linakutiririka unafurahii mwenyewe unadhani wako atabaki salama?? Nop ujue kuna mjanja wako pia kama we ulivo mjanja kwa mwingine mkeo analiwa vizuri tu mastaili yoteee anapewa....hamtaki kusikia ila ndo hiv.

Jana nikakutana na jamaa mmoja ni mwanaume tu wa makamo umri unatosha kupewa shkamoo ni dereva, simu yake inaita wee anapokea anajibu nakuja mama anakata, sekunde tu simu inaita tena anajibu nimekaribia yani zilikuwa ni simu mfululizo mwisho akaona aongee "dah huu mchepuko unasumbua sana nishauambia nakuja hauelewi, huyu mwanamke ana ny*ge hadi zinamwagikia bla bla"

Nikamwambia nenda kampe haki yake jamaa, ndo kuanza story huyu mwanamke nilimuonjesha mara moja yani kaniganda sikutegemea, anataka kila siku nimbandue sijawahi kukutana na mwanamke mwenye ny*ge kama huyu, kisa mashine yangu kubwa mme wake anayo ndogo basi akiishika hadi huwa anatetemeka (ha ha ha wanawake wabaya ndo nini sasa kutangaza silaha ya mme kwa mchepuko).....

Bado nasimuliwa huu mchepuko unaniambia nipaki tu atanipa hela ambazo ningezipata yani huwa nampa dozi vilivo hadi ananipa hela, yani hapo najua kishaloana (baba aliongea yule hadi nikahisi aibu sasa).. .

Nikamuuliza ukisikia nawe kuna jamaa anamshughulikia mkeo hivo utajisikiaje ha ha ha eti "mama angu ntaua mtu" nikajisemea tu Kimoyo moyo nyokooo wewe, we mbona unakula wa mtu nani kakuua..... akatokea mwanamama na dera lake masikini mali ya mwanaume inaenda kutafunwa.

Kavuruge mke wa mwenzio na wako avurugwe!!!!!!
Kwann usiseme ni ww tu
 
Teh hivi gelofriend unategemea mtu awe anachepuka afu amsifie mkewe/mumewe mbele ya mchepuko? Hell No.. lazima akusifie wewe mchepuko zaidi, basi unajikuta chogo lile mwenyewe kumbe hakuna kitu. Asikusifie ili umnyime mambo

Ni sawa tu na mahusiano ya kawaida, Kila mpenzi utakayekuwa naye atakwambia wewe ni bora zaidi ya ex wake teh. Akili kumkichwa
 
Shida inakuja pale ambapo ulikuwa unadate na bidada as girlfriend na boyfriend, ikatokea kutokuelewana na kila mmoja akashika hamsini zake, kapata mwanaume mwingine kafunga nae ndoa, huku pia katokea mwanamke mwingine mmeoana, sasa taabu inakuja mmekutana na yule wa long time hlf anakufungukia waziwazi kwamba mumewe si lolote si chochote, anakuganda hadi unatamani uhame nchi, yaani haya mambo haya ni taabu kweli kweli
 
Back
Top Bottom