Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Na ukianza kuliwa na wewe baadae utakula au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa, ndoa hizi ngoja tuwe watazamaji kwanza...Hahha hapa nimetoka kumla wa mtu najua huko aliko akiguswa tuu lazima aseme "mama samahani leo j3 email zilikuwa nyingi so naomba nipumzike kidogo" though najua baba ashibae wangu nae uko aliko saiv ana kidaba chake pembeni,..looh!!!hatarrrr
Kweli muosha huoshwa...but life goes on Mungu atusamehe dhambi hiii
Hahahaa, ndoa hizi ngoja tuwe watazamaji kwanza...
Haa! teenah?Nimeliwa kwa achali ya embe, nikashushiwa na juice ya passion,....
kwe kwe kwe kwe au angetunga na tamthiliyaJamani kuna wanawake wambea.
Yaani wewe kukusimulia siku moja tu ndiyo umekuja kuwasimulia wenzako huku?
Je ungeiona hiyo inayomtetemesha mwenzako si ungechapisha kitabu kabisa?
mi kuliwa ni suna ha haha ila chako kuliwa ni hatariHata usipokula vya wenzio utaliwa tu
Sahau, labla ni mpaka hapo jesus atakaporudisijui lini tanzania itakuwa free from michepuko
ACHA HASIRA, UKIJUA UTAFANYA NINI?Teh teh..Uncle mi principle yangu ni ileile..CHEPUKA ILA MI NISIJUE
Ukiona wako naliwa na wewe tafuta mnyonge ummegee-MWANA FAHahha hapa nimetoka kumla wa mtu najua huko aliko akiguswa tuu lazima aseme "mama samahani leo j3 email zilikuwa nyingi so naomba nipumzike kidogo" though najua baba ashibae wangu nae uko aliko saiv ana kidaba chake pembeni,..looh!!!hatarrrr
Kweli muosha huoshwa...but life goes on Mungu atusamehe dhambi hiii
Nakuomba Neria usitoe mimba yangu-by sauti sol- www.youtube.com/watch?v=rtNZK3PUme8
Ukiona wako analiwa na wewe tafuta mnyonge ummegee-MWANA FAKwan usipotafuna mke wa mtu mke wako hatatafunwa?
Hapa ni mwendo wa kutafuna tu hata wakwangu akitafunwa poa tu maana siwez kumzuia kutafunwa
bado nipo nipo kwamnza-mwana FA www.youtube.com/watch?v=WDJRM-CO2PwHahahaa, ndoa hizi ngoja tuwe watazamaji kwanza...
Ukitaka kula lazma uliwe, wanaokubali waseme ndio wasiokubali waseme sio....
Mwanaume unapokua unagegeda mke wa mwenzio, unamgeuza geuza kama chapati, unamkunja na kumkunjua, jasho linakutiririka unafurahii mwenyewe unadhani wako atabaki salama?? Nop ujue kuna mjanja wako pia kama we ulivo mjanja kwa mwingine mkeo analiwa vizuri tu mastaili yoteee anapewa....hamtaki kusikia ila ndo hiv.
Jana nikakutana na jamaa mmoja ni mwanaume tu wa makamo umri unatosha kupewa shkamoo ni dereva, simu yake inaita wee anapokea anajibu nakuja mama anakata, sekunde tu simu inaita tena anajibu nimekaribia yani zilikuwa ni simu mfululizo mwisho akaona aongee "dah huu mchepuko unasumbua sana nishauambia nakuja hauelewi, huyu mwanamke ana ny*ge hadi zinamwagikia bla bla"
Nikamwambia nenda kampe haki yake jamaa, ndo kuanza story huyu mwanamke nilimuonjesha mara moja yani kaniganda sikutegemea, anataka kila siku nimbandue sijawahi kukutana na mwanamke mwenye ny*ge kama huyu, kisa mashine yangu kubwa mme wake anayo ndogo basi akiishika hadi huwa anatetemeka (ha ha ha wanawake wabaya ndo nini sasa kutangaza silaha ya mme kwa mchepuko).....
Bado nasimuliwa huu mchepuko unaniambia nipaki tu atanipa hela ambazo ningezipata yani huwa nampa dozi vilivo hadi ananipa hela, yani hapo najua kishaloana (baba aliongea yule hadi nikahisi aibu sasa).. .
Nikamuuliza ukisikia nawe kuna jamaa anamshughulikia mkeo hivo utajisikiaje ha ha ha eti "mama angu ntaua mtu" nikajisemea tu Kimoyo moyo nyokooo wewe, we mbona unakula wa mtu nani kakuua..... akatokea mwanamama na dera lake masikini mali ya mwanaume inaenda kutafunwa.
Kavuruge mke wa mwenzio na wako avurugwe!!!!!!
Ha ha ha hizo punje za staili hiyo hajanipata
Teh hivi gelofriend unategemea mtu awe anachepuka afu amsifie mkewe/mumewe mbele ya mchepuko? Hell No.. lazima akusifie wewe mchepuko zaidi, basi unajikuta chogo lile mwenyewe kumbe hakuna kitu. Asikusifie ili umnyime mambo
Ni sawa tu na mahusiano ya kawaida, Kila mpenzi utakayekuwa naye atakwambia wewe ni bora zaidi ya ex wake teh. Akili kumkichwa
Hahaha kumbe hataki ajulikane kuwa yuko marie?Hapa
Hapa nilipo, nimefunfa hapafai kila unamtokea anakwambia siko marie... ukimuuliza juu ya nini anakwambia basi tu sipendake banaume... sa nyingine hata nashangala juu ya nini likuitikiaga weye vite.... ila mwai masiku hata naona sikukosea juu unanifanya bien.... ha!! kumbe mke wa Mtu