Ubandue wa wenzio tuuu, wako asibanduliwe? Haipo hiyo!!

Ubandue wa wenzio tuuu, wako asibanduliwe? Haipo hiyo!!

Teh kwamba inatakiwa tuwe tunasema "wanawake mnaokula wame za watu nanyi wame zenu wataliwa"

Siyo kwamba mnatakiwa muwe mnasema hivyo.

Ni kwamba hata wanawake nao huanza kutoka nje ya ndoa zao.

Hata ambao waume zao huanza kutoka, nao [hao wake] hutoka kwa kutaka, yaani kwa ridhaa, utashi, na matakwa yao wenyewe.

Sasa mtu wa hivyo kweli unaweza ukasema analiwa kwa sababu mume wake katoka nje ya ndoa?

Ukisema hivyo inaleta picha ya kwamba mwanamke hana ridhaa yoyote ile.

Je, hivyo ndivyo ilivyo?
 
Teh teh..Uncle mi principle yangu ni ileile..CHEPUKA ILA MI NISIJUE
Kaboom unachekeshaga sana na harakati zako kama za pimbi ,mara sijui unataka kumtafuna mtoto gani ,jukwaa letu kubwa la wapendwa iliwekwa picha ya papuchi wajuvi wakawa wanasema sijui ni ya Kimambi ,ghafla nakuona umetia timu unauliza kama kweli ya kwake
 
Teh teh..Uncle kweli nina nyota ya Pimbi..Harakati uwa hazifanikiwi kabisa..Ile Papuchi ilikuwa ina quality nzuri ndo mana nikaamua kuhoji teh
 
Teh teh..Uncle kweli nina nyota ya Pimbi..Harakati uwa hazifanikiwi kabisa..Ile Papuchi ilikuwa ina quality nzuri ndo mana nikaamua kuhoji teh
Teh teh! Mkuu ndio maana nilkuita uje uchukue kitu hapa kwa Jasusi Salt maana harakati zako za kuwatafuna zinatisha
 
Mimi nafikiri the real story ni wewe Eve na huyu jamaa alivyokusimulia mwenzie anatetemeka akiona mtarimbo
je wewe na huyu jamaa mliishia wapi?
hujapanga siku ukajionee mwenyewe huo mtarimbo?
nafikiri hapo ndo kuna story
ilikuwaje kwanza mkasimuliana habari hizo?
 
Jamani kuna wanawake wambea.
Yaani wewe kukusimulia siku moja tu ndiyo umekuja kuwasimulia wenzako huku?

Je ungeiona hiyo inayomtetemesha mwenzako si ungechapisha kitabu kabisa?
 
Mimi nafikiri the real story ni wewe Eve na huyu jamaa alivyokusimulia mwenzie anatetemeka akiona mtarimbo
je wewe na huyu jamaa mliishia wapi?
hujapanga siku ukajionee mwenyewe huo mtarimbo?
nafikiri hapo ndo kuna story
ilikuwaje kwanza mkasimuliana habari hizo?
Hahaaa nilitaka kusema kitu kama hiki, Eve alikuwa anarushiwa punje za mtama ajiingize kibra mwenyewe, chezea watu na fani zao nini
 
Mimi nafikiri the real story ni wewe Eve na huyu jamaa alivyokusimulia mwenzie anatetemeka akiona mtarimbo
je wewe na huyu jamaa mliishia wapi?
hujapanga siku ukajionee mwenyewe huo mtarimbo?
nafikiri hapo ndo kuna story
ilikuwaje kwanza mkasimuliana habari hizo
  yamekua hayo tena!! 😀 😀 😀 mi nlishuka nikaondoka zangu ye akapakia goma lake, alianza tu kusimlia from no where mwenyewe nikadhani labda kalewa
 
Hahaaa nilitaka kusema kitu kama hiki, Eve alikuwa anarushiwa punje za mtama ajiingize kibra mwenyewe, chezea watu na fani zao nini
Ha ha ha hizo punje za staili hiyo hajanipata
 
Kula kupo na kuliwa kupo pia, ila inategemeana na ufanyaji kazi wako kwa huyo mwenza wako.
 
Hahha hapa nimetoka kumla wa mtu najua huko aliko akiguswa tuu lazima aseme "mama samahani leo j3 email zilikuwa nyingi so naomba nipumzike kidogo" though najua baba ashibae wangu nae uko aliko saiv ana kidaba chake pembeni,..looh!!!hatarrrr
Kweli muosha huoshwa...but life goes on Mungu atusamehe dhambi hiii
 
inaonekana hii nchi ina watu wanaopenda sexy sana CHAPUTA tz MICHEPUKO tz duuuh kila ntu na ntu.

Enzi ya mkweree mambo ya ngono ndiyo ilikuwa NATIONAL PASSION na yeye ndiye aliyekuwa ROLE MODEL; kwavile ngwe yake imekwisha mchezo huo amekwenda nao Msoga na sisi tumebakiwa na HAPA NI KAZI TU!!!
 
Ukitaka kula lazma uliwe, wanaokubali waseme ndio wasiokubali waseme sio....

Mwanaume unapokua unagegeda mke wa mwenzio, unamgeuza geuza kama chapati, unamkunja na kumkunjua, jasho linakutiririka unafurahii mwenyewe unadhani wako atabaki salama?? Nop ujue kuna mjanja wako pia kama we ulivo mjanja kwa mwingine mkeo analiwa vizuri tu mastaili yoteee anapewa....hamtaki kusikia ila ndo hiv.

Jana nikakutana na jamaa mmoja ni mwanaume tu wa makamo umri unatosha kupewa shkamoo ni dereva, simu yake inaita wee anapokea anajibu nakuja mama anakata, sekunde tu simu inaita tena anajibu nimekaribia yani zilikuwa ni simu mfululizo mwisho akaona aongee "dah huu mchepuko unasumbua sana nishauambia nakuja hauelewi, huyu mwanamke ana ny*ge hadi zinamwagikia bla bla"

Nikamwambia nenda kampe haki yake jamaa, ndo kuanza story huyu mwanamke nilimuonjesha mara moja yani kaniganda sikutegemea, anataka kila siku nimbandue sijawahi kukutana na mwanamke mwenye ny*ge kama huyu, kisa mashine yangu kubwa mme wake anayo ndogo basi akiishika hadi huwa anatetemeka (ha ha ha wanawake wabaya ndo nini sasa kutangaza silaha ya mme kwa mchepuko).....

Bado nasimuliwa huu mchepuko unaniambia nipaki tu atanipa hela ambazo ningezipata yani huwa nampa dozi vilivo hadi ananipa hela, yani hapo najua kishaloana (baba aliongea yule hadi nikahisi aibu sasa).. .

Nikamuuliza ukisikia nawe kuna jamaa anamshughulikia mkeo hivo utajisikiaje ha ha ha eti "mama angu ntaua mtu" nikajisemea tu Kimoyo moyo nyokooo wewe, we mbona unakula wa mtu nani kakuua..... akatokea mwanamama na dera lake masikini mali ya mwanaume inaenda kutafunwa.

Kavuruge mke wa mwenzio na wako avurugwe!!!!!!
Inavyonyesha ushaliwa tayari.
 
Back
Top Bottom