mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 853
- 1,701
Kwanza miaka sisi tunakuwa ilikuwa mafundisho ya kipaimara yanalenga kutujenga zaidi Kiimani,upendo na ushirikiano na siku ya Kipaimara(Ubarikio)ikifika watoto wote waliobarikiwa pamoja na wazazi wao tunashiriki Sherehe happ happ kanisani,mtakula pilau nyama soda kibao baada ya hapo wazazi na watoto mnarudi nyumbani25m kwa ubarikio alitakiwa asichangishe mtu
uwezo wangu wa kuchanga ni hiyo 30k aloikataa akisema inatakiwa 50k..kama unaweza change huwezi acha!.
Lakini ni muhimu sana kushirikiana na kujumuika na watu ulio karibu nao
Hahahahaaaa amtafute gsm wa katoro ampe ushauri kwanza25m kwa ubarikio mbona ndogo sana? Atafanikisha kweli?
Ingekuwa sawa kama angekuwa anatoa zote yeye mwenyewe kumbe anachangisha watu!!!NIMESHANGAZWA NA HILI UBARIKIO WA MTOTO BAJETI MILIONI 25 KAUNDA NA KAMATI
Sema wa Tz kuna namna sijui ni kulogwa au tunachukuliana poa
Kuna mshua mmoja jana alinialika ana kikao cha maandalizi ya sherehe ya ibarikio wa binti yake Mwezi Decemba bahati mbaya sikwenda leo ananipigia kuwa kikao kilienda poa na watu wameahidi ahadi zao,,Akanambia mi natoa ngapi namwambia 30k anasema eti kiwango cha chini kwa wanakamati ni 50k(Single),,ndo ananipa dodoso kuwa Bajeti walopanga ni Milioni 25,
Ukumbi utakuwa AIM MALL nilibaki na mshangao imekuwaje wabongo wanapenda ujinga hivi Ubarikio mtu anataka mumchangie zaidi ya 20M??
Yule Father kwakuwa sisi ni watani nikamuliza kama utani kwahiyo hapo 25M ubarikio tu baada ya miaka kadhaa utatufata tena Tuchangie SendOff Ya huyo binti yako??
Ndio maana Kuna kalaana Duniani,Kuna Watu wanashida ya Figo,Moyo,Viungo,Njaa, hawana ada,Wazazi,huku tukio na Nafasi,tukizani huko Ndio kumpendeza Mungu!NIMESHANGAZWA NA HILI UBARIKIO WA MTOTO BAJETI MILIONI 25 KAUNDA NA KAMATI
Sema wa Tz kuna namna sijui ni kulogwa au tunachukuliana poa
Kuna mshua mmoja jana alinialika ana kikao cha maandalizi ya sherehe ya ibarikio wa binti yake Mwezi Decemba bahati mbaya sikwenda leo ananipigia kuwa kikao kilienda poa na watu wameahidi ahadi zao,,Akanambia mi natoa ngapi namwambia 30k anasema eti kiwango cha chini kwa wanakamati ni 50k(Single),,ndo ananipa dodoso kuwa Bajeti walopanga ni Milioni 25,
Ukumbi utakuwa AIM MALL nilibaki na mshangao imekuwaje wabongo wanapenda ujinga hivi Ubarikio mtu anataka mumchangie zaidi ya 20M??
Yule Father kwakuwa sisi ni watani nikamuliza kama utani kwahiyo hapo 25M ubarikio tu baada ya miaka kadhaa utatufata tena Tuchangie SendOff Ya huyo binti yako??
Kiupande wa kujazia mi sina hela ya kujazia!!!uwezo wangu wa kuchanga ni hiyo 30k aloikataa akisema inatakiwa 50k..
au unajazia hiyo 20k hapoo tumpe???
Tz kuna maajabu sana... Kuna binti anaolewa na jamaa fulani, budget ya send off yake ni mls 80, anayemuoa hana maisha na binti kampangia jamaa ambapo baada ya ndoa wanakwenda kuishi chumba sebule tabata.NIMESHANGAZWA NA HILI UBARIKIO WA MTOTO BAJETI MILIONI 25 KAUNDA NA KAMATI