The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Kabisa mkuu,Tutafute hela wakuu, shilingi 50000 siyo hela ya kuja kulalamika JamiiForums,
🤣😂Kuna mwingine huku anatuchangusha pesa za birthday
shirikisha ubulongo unapoandikaTutafute hela wakuu, shilingi 50000 siyo hela ya kuja kulalamika JamiiForums,
Wala sio mambo mengine, ni vile wazazi wako (wetu)Kwanza miaka sisi tunakuwa ilikuwa mafundisho ya kipaimara yanalenga kutujenga zaidi Kiimani,upendo na ushirikiano na siku ya Kipaimara(Ubarikio)ikifika watoto wote waliobarikiwa pamoja na wazazi wao tunashiriki Sherehe happ happ kanisani,mtakula pilau nyama soda kibao baada ya hapo wazazi na watoto mnarudi nyumbani
Hii ya sasa hivi naona sio ubarikio tenaa ni mambo mengine
Ila wabongo, Hapo kwenye kamati mlikubaliana vizuri sana hadi huyo jamaa mwenye mtoto moyoni kasema "hawa ndio watu sasa"... ila mmekaa pembeni ndipo mnakosoa bajeti ambayo mlipotisha wenyewe...
Wabongo tukiacha unafiki tutafika mbali sana, tukianza kuambiana ukweli tutafika mbali...
Yanayotokea huko serikalini yanaanzia huku, mngekuwa serikalini ina maana mngepitisha bajeti ya hovyo kisa tu mnaogopa kusema ukweli...
Hivi wabongo mnaelewa maana ya kamati kweli? Inapaswa palepale mnamuambia au kumshauri kwa uwazi kwamba hio 25M ni nyingi...
Sio mmekubaliana kwenye kamati halafu mnatoka hapo mmefadhaika na hamjapendezwa...
Bongo noma.