Ila pole sana mtan Naona mwendo umeumaliza.Naitakia ushindi wowote ule timu yangu ya Wananchi. Mwalimu ajiepushe tu kupanga wachezaji wasio jiamini. Kule nyuma amuongeze Yanick Bangala. Zawadi Mauya na Nchimbi wapumzishwe kwenye hii mechi.
UTO WANAKULA MKONO TURivers United Vs Yanga
Mchezo utapigwa kesho mida ya saa kumi na mbili jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Hii ni mechi marudiano baada ya mechi ya kwanza iliyopigwa hapa Dar es Salaam.
Utopolo walilala kwa goli moja bila majibu uwanjani Nyumbani.
Tupia ubashiri wako hapa chini.
Wangu Ni Huu
Rivers United 2 Yanga 0
Utoooo[emoji2957]