Ubashiri: Rivers United vs Yanga

Ubashiri: Rivers United vs Yanga

wajibisha

Member
Joined
May 16, 2021
Posts
90
Reaction score
215
Rivers United Vs Yanga

Mchezo utapigwa kesho mida ya saa kumi na mbili jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki.

Hii ni mechi marudiano baada ya mechi ya kwanza iliyopigwa hapa Dar es Salaam.

Utopolo walilala kwa goli moja bila majibu uwanjani Nyumbani.

Tupia ubashiri wako hapa chini.

Wangu Ni Huu

Rivers United 2 Yanga 0

Utoooo[emoji2957]
 
Rivers 1-5 Yanga

Ni UZUNI KWAKWELI,mashabiki wa Rivers hamjasafiri kwenda kuishabikia timu yenu
Screenshot_20210905-155641-1.jpg
 
Naitakia ushindi wowote ule timu yangu ya Wananchi. Mwalimu ajiepushe tu kupanga wachezaji wasio jiamini. Kule nyuma amuongeze Yanick Bangala. Zawadi Mauya na Nchimbi wapumzishwe kwenye hii mechi.
 
Rivers United Vs Yanga

Mchezo utapigwa kesho mida ya saa kumi na mbili jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki.

Hii ni mechi marudiano baada ya mechi ya kwanza iliyopigwa hapa Dar es Salaam.

Utopolo walilala kwa goli moja bila majibu uwanjani Nyumbani.

Tupia ubashiri wako hapa chini.

Wangu Ni Huu

Rivers United 2 Yanga 0

Utoooo[emoji2957]
UTO WANAKULA MKONO TU
 
Back
Top Bottom