daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Rivers 0 - Yanga 1 dakika 90Rivers United Vs Yanga
Mchezo utapigwa kesho mida ya saa kumi na mbili jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Hii ni mechi marudiano baada ya mechi ya kwanza iliyopigwa hapa Dar es Salaam.
Utopolo walilala kwa goli moja bila majibu uwanjani Nyumbani.
Tupia ubashiri wako hapa chini.
Wangu Ni Huu
Rivers United 2 Yanga 0
Utoooo[emoji2957]
dah yanga yafirikaRivers utd 3 vs dah yanga yafirika 0.
Hivi hii mechi haitaoneshwa amaNaitakia ushindi wowote ule timu yangu ya Wananchi. Mwalimu ajiepushe tu kupanga wachezaji wasio jiamini. Kule nyuma amuongeze Yanick Bangala. Zawadi Mauya na Nchimbi wapumzishwe kwenye hii mechi.
Simba alivyopigwa kipigo cha kufa mtu kule Afrika Kusini, je waliulizana aliyetoa wazo la kutangaza utalii?Kesho wataanza kuulizana nani aliyetoa wazo yanga wakatangaze utalii maana watapata kipigo cha kufa mtu
Simba walishafika mbali walishatangaza Kongo, Sudan na, Misri na Afrika kusini.Simba alivyopigwa kipigo cha kufa mtu kule Afrika Kusini, je waliulizana aliyetoa wazo la kutangaza utalii?
Kwahiyo mlipenda kuishia pale mlipoishia?Simba walishafika mbali walishatangaza Kongo, Sudan na, Misri na Afrika kusini.
wakati huo dunia nzima ilikuwa inawazungumzia hasa baada ya kumpa kipigo aliyekuwa bingwa ambaye kwenye michuano ya dunia alishika nafasi ya 3.
Nyinyi hamna historia yoyote zaidi ya aibu ya kusingizia watu wana corona
Yanga inakwenda kuvuka ila sijui idadi ya magoli.
Mwendo mmeumaliza dada. Mmetiwa kwa mkapa na huko lazma MGAWERivers 1-5 Yanga
Ni UZUNI KWAKWELI,mashabiki wa Rivers hamjasafiri kwenda kuishabikia timu yenuView attachment 1943118
Hatuna Mashaka Kuwa Wanapigwa Faster Halafu Wanapanda Boeing Wanakuja Kubwata Hapa HomeWatagongwa sana hao utopolo
Ukiongea kutoka wapi,Nigeria au BUZA?Mwendo mmeumaliza dada. Mmetiwa kwa mkapa na huko lazma MGAWE
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app