To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
6Wewe hipendelea kuvunja hasa amri gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
6Wewe hipendelea kuvunja hasa amri gani?
Hivi ya sita ndiyo kuua? Isije ikawa nimekosea nimetag ya kuzini?!!🥴
Ile ya "USIUE"?Maana katekisimu nilisoma siku nyingi hadi nimesahau mpangilio.
Yeah, nadhani ninaobby sawa naweIle ya "USIUE"?Maana katekisimu nilisoma siku nyingi hadi nimesahau mpangilio.
Nina uhakika tumeelewana.Yeah, nadhani ninaobby sawa nawe
Hapana sio ubatizoNikioshwa kwa mganga njia panda huo ni ubatizo na nikichanjwa dawa(vaccination) hiyo ni kipaimara.Je,African baptism yatofautiana na middle east baptism?
Amini Mungu yupo ili ukikutana nae,usikane hukuwahi ambiwa yupo!Hapa ndipo nakiri mzungu alitumia akili sana kuiteka dunia, hasa kumteka mwafrika. Tunafanya arguments za ajabu sana, ambazo hazina impact yoyote katika maisha.
Mwisho wa siku tukifa tunaoza na ndio mwisho wa maisha ya binadamu, swala la kuoina mbingu/pepo ni muendelezo wa brainwashing ambayo mzungu alihakikisha inakubalika ili aitawale dunia vizuri.