Ubatizo ni nini na ulio sahihi ni upi?

Ubatizo ni nini na ulio sahihi ni upi?

Nikioshwa kwa mganga njia panda huo ni ubatizo na nikichanjwa dawa(vaccination) hiyo ni kipaimara.Je,African baptism yatofautiana na middle east baptism?
 
Hapa ndipo nakiri mzungu alitumia akili sana kuiteka dunia, hasa kumteka mwafrika. Tunafanya arguments za ajabu sana, ambazo hazina impact yoyote katika maisha.

Mwisho wa siku tukifa tunaoza na ndio mwisho wa maisha ya binadamu, swala la kuoina mbingu/pepo ni muendelezo wa brainwashing ambayo mzungu alihakikisha inakubalika ili aitawale dunia vizuri.
Amini Mungu yupo ili ukikutana nae,usikane hukuwahi ambiwa yupo!
 
Back
Top Bottom