Ubaya hujibiwa kwa wema alianza kuitukana CCM,akaja Samia na Sasa mtoto wake!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Namkumbuka Padre mmoja aliwahi kunihubiria kuwa ushinde ubaya kwa wema.

Yaani mtu mbaya anapokuletea ubaya usimjibu na waka usimtendee ubaya badala yake jikite kumpelekea wema.

Tujibu Ubaya kwa wema zaidi...

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Wakiongeza elfu tatu CCM ndani ya buku saba nahisi mtakuwa yale marobot ya HFT kwenye soko la forex.
IMG_2345.jpeg
 
Namkumbuka Padre mmoja aliwahi kunihubiria kuwa ushinde ubaya kwa wema.

Yaani mtu mbaya anapokuletea ubaya usimjibu na waka usimtendee ubaya badala yake jikite kumpelekea wema.

Tujibu Ubaya kwa wema zaidi...

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Namkumbuka Padre mmoja aliwahi kunihubiria kuwa ushinde ubaya kwa wema.

Yaani mtu mbaya anapokuletea ubaya usimjibu na waka usimtendee ubaya badala yake jikite kumpelekea wema.

Tujibu Ubaya kwa wema zaidi...

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Naunga mkono hoja
P
 
Back
Top Bottom