Yeyote ambae habubujikwi na machozi pale Mama anapoongea kwenu ni mnafiki.Mnafiki yule
Tatizo ni bandiko hiliMbona umeandika kinafiki sana? Ni LAZIMA atoe yeye au aandike yeye hio taarifa? Au kuna nini??
Kwa hiyo unampangia cha kuongea?Ni tukio la kusikitisha kule Kagera.
Askofu Bagonza lini atatupandishia maandiko kuntu ya kupinga unyama uliofurutu ada wa kumuua mtoto (MALAIKA) asiye dhambi ,kumkata viungo na kumchuna ngozi...
Mbona huyo mtoto hawafanani na Bagonza?
Si Kesi ipo mahakamani? Au unataka Askofu afanye nini?Askofu autie mwandiko wake dhidi ya yule kiongozi wa dini katili aliyemchuna ngozi mtoto mdogo kule Kagera.
#Do Not Do Harm[emoji2956]
#Dini Ni Kuuishi Upendo hata kwa miti ,wadudu na mazingira[emoji2956]
Mbona hata kesi ya DP World ilikua Mahakamani ila kila siku waraka ulikua unasambazwa kwa wale waumini?Si Kesi ipo mahakamani? Au unataka Askofu afanye nini?
Jifunze kuvamia hoja siyo mleta hoja. Hata unaowatumikia watakuona wa maana.
Bagonza Ana agenda zakeNi tukio la kusikitisha kule Kagera.
Askofu Bagonza lini atatupandishia maandiko kuntu ya kupinga unyama uliofurutu ada wa kumuua mtoto (MALAIKA) asiye dhambi ,kumkata viungo na kumchuna ngozi?
Lini tutapata maneno ya faraja kutoka kwake ili mioyo yetu itulie?
Hatujamuona akiandika maandiko marefu juu ya hayo, hatujamuona akiandika maandiko marefu juu ya baadhi ya viongozi wa dini Wanaolawiti watoto na vijana wenzetu.
Do not do harm
Imani kuu ni kuuthamini uhai wa mwanadamu
Nchi Kwanza
PIA SOMA
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Ni tukio la kusikitisha kule Kagera.

Aache unafikiSi Kesi ipo mahakamani? Au unataka Askofu afanye nini?
Jifunze kuvamia hoja siyo mleta hoja. Hata unaowatumikia watakuona wa maana.
Dr. Bagonza amekuwa akiwasakama wale ambao hawagusiki.Ni tukio la kusikitisha kule Kagera.
Askofu Bagonza lini atatupandishia maandiko kuntu ya kupinga unyama uliofurutu ada wa kumuua mtoto (MALAIKA) asiye dhambi ,kumkata viungo na kumchuna ngozi?
Lini tutapata maneno ya faraja kutoka kwake ili mioyo yetu itulie?
Hatujamuona akiandika maandiko marefu juu ya hayo, hatujamuona akiandika maandiko marefu juu ya baadhi ya viongozi wa dini Wanaolawiti watoto na vijana wenzetu.
Do not do harm
Imani kuu ni kuuthamini uhai wa mwanadamu
Nchi Kwanza
PIA SOMA
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
DP world ni pesa za walipa kodi. Siyo za matapeli wa CCM The IcebreakerMbona hata kesi ya DP World ilikua Mahakamani ila kila siku waraka ulikua unasambazwa kwa wale waumini?
Ni vizuri Watu maarufu wakawekeza kwa manufaa ya baadae na kuchagua watu gani wa kuambatana nayo enzi za ujana wao.NA kitima kuhusu Mandojo kuuwawa na waumini wa kanisa katoliki ndani ya eneo la kanisa
Huyo padre ameshatiwa hatiani na mahakama na kuhukumiwa kifungo? Au ni maumivu tu ndiyo yanayokutesa kutokana na spana anazowapatia huyo Askofu?Ni tukio la kusikitisha kule Kagera.
Askofu Bagonza lini atatupandishia maandiko kuntu ya kupinga unyama uliofurutu ada wa kumuua mtoto (MALAIKA) asiye dhambi ,kumkata viungo na kumchuna ngozi?
Lini tutapata maneno ya faraja kutoka kwake ili mioyo yetu itulie?
Hatujamuona akiandika maandiko marefu juu ya hayo, hatujamuona akiandika maandiko marefu juu ya baadhi ya viongozi wa dini Wanaolawiti watoto na vijana wenzetu.
Do not do harm
Imani kuu ni kuuthamini uhai wa mwanadamu
Nchi Kwanza
PIA SOMA
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Si kweli...Dr. Bagonza amekuwa akiwasakama wale ambao hawagusiki.
Viongozi wa dini wenye kesi Sheria imeshachukua mkondo wake. Kuna haja gani kuongelea jambo lililopo mikononi mwa vyombo vya dola?
Mbona ni kinyume na uhalisia ?!!Udini, Ukabila, Ujinga, Upumbavu, nk umekutawala!
Wewe ulie msafi mbona haujanawa huko Nyuma