Ubaya ni ubaya lini Askofu Bagonza atatoa chapisho kumpinga yule kiongozi wa dini aliyehusishwa na tukio la mauaji ya mtoto Kagera

Ni tukio la kusikitisha kule Kagera.

Askofu Bagonza lini atatupandishia maandiko kuntu ya kupinga unyama uliofurutu ada wa kumuua mtoto (MALAIKA) asiye dhambi ,kumkata viungo na kumchuna ngozi...
Kwa hiyo unampangia cha kuongea?
 
Askofu autie mwandiko wake dhidi ya yule kiongozi wa dini katili aliyemchuna ngozi mtoto mdogo kule Kagera.

#Do Not Do Harm[emoji2956]
#Dini Ni Kuuishi Upendo hata kwa miti ,wadudu na mazingira[emoji2956]
 
Si Kesi ipo mahakamani? Au unataka Askofu afanye nini?

Jifunze kuvamia hoja siyo mleta hoja. Hata unaowatumikia watakuona wa maana.
 
Mbona hata kesi ya DP World ilikua Mahakamani ila kila siku waraka ulikua unasambazwa kwa wale waumini?
 
Ni tukio la kusikitisha kule Kagera.

Askofu Bagonza lini atatupandishia maandiko kuntu ya kupinga unyama uliofurutu ada wa kumuua mtoto (MALAIKA) asiye dhambi ,kumkata viungo na kumchuna ngozi?

Lini tutapata maneno ya faraja kutoka kwake ili mioyo yetu itulie?

Hatujamuona akiandika maandiko marefu juu ya hayo, hatujamuona akiandika maandiko marefu juu ya baadhi ya viongozi wa dini Wanaolawiti watoto na vijana wenzetu.

Do not do harm

Imani kuu ni kuuthamini uhai wa mwanadamu

Nchi Kwanza

PIA SOMA
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Bagonza Ana agenda zake
 
Hili shauri si liko mahakamani ndugu?
 
Kesi iko mahakamani walioko uko ni watuhumiwa bado hawajathibitishwa na mahakama kama wakosaji.
Lakini pia hiyo sio kazi ya Askofu.
 
Ni tukio la kusikitisha kule Kagera.

Askofu Bagonza lini atatupandishia maandiko kuntu ya kupinga unyama uliofurutu ada wa kumuua mtoto (MALAIKA) asiye dhambi ,kumkata viungo na kumchuna ngozi?

Lini tutapata maneno ya faraja kutoka kwake ili mioyo yetu itulie?

Hatujamuona akiandika maandiko marefu juu ya hayo, hatujamuona akiandika maandiko marefu juu ya baadhi ya viongozi wa dini Wanaolawiti watoto na vijana wenzetu.

Do not do harm

Imani kuu ni kuuthamini uhai wa mwanadamu

Nchi Kwanza

PIA SOMA
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Dr. Bagonza amekuwa akiwasakama wale ambao hawagusiki.

Viongozi wa dini wenye kesi Sheria imeshachukua mkondo wake. Kuna haja gani kuongelea jambo lililopo mikononi mwa vyombo vya dola?
 
NA kitima kuhusu Mandojo kuuwawa na waumini wa kanisa katoliki ndani ya eneo la kanisa
Ni vizuri Watu maarufu wakawekeza kwa manufaa ya baadae na kuchagua watu gani wa kuambatana nayo enzi za ujana wao.
 
Ni tukio la kusikitisha kule Kagera.

Askofu Bagonza lini atatupandishia maandiko kuntu ya kupinga unyama uliofurutu ada wa kumuua mtoto (MALAIKA) asiye dhambi ,kumkata viungo na kumchuna ngozi?

Lini tutapata maneno ya faraja kutoka kwake ili mioyo yetu itulie?

Hatujamuona akiandika maandiko marefu juu ya hayo, hatujamuona akiandika maandiko marefu juu ya baadhi ya viongozi wa dini Wanaolawiti watoto na vijana wenzetu.

Do not do harm

Imani kuu ni kuuthamini uhai wa mwanadamu

Nchi Kwanza

PIA SOMA
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Huyo padre ameshatiwa hatiani na mahakama na kuhukumiwa kifungo? Au ni maumivu tu ndiyo yanayokutesa kutokana na spana anazowapatia huyo Askofu?
 
Dr. Bagonza amekuwa akiwasakama wale ambao hawagusiki.

Viongozi wa dini wenye kesi Sheria imeshachukua mkondo wake. Kuna haja gani kuongelea jambo lililopo mikononi mwa vyombo vya dola?
Si kweli...

Umesahau DP world kesi yake ilikuwa mahakamani...na bado serikali iliendelea kupingwa na baadhi ya viongozi wa dini...
 
Udini, Ukabila, Ujinga, Upumbavu, nk umekutawala!
 
Mbona ni kinyume na uhalisia ?!!

Udini ,ukabila nimeuanza lini mkuu ?!!

Labda hunijui vyema...[emoji1787][emoji1787]

Kumuuliza Askofu Bagonza ni kwanini hakuandika waraka juu ya mauaji ya yule mtoto asiye na hatia ni udini ?!! [emoji44][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom