MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Bagonza, Mwamakula na Kitima ni WANAFIKI CLIQUE... Mtoto kauwawa na huko Dodoma waumini wamemuua Mandojo ila hao maaskofu wawili na padri mmoja wakakausha kama vile hakuna kilichotokea. Wana tofauti gani na viongozi wa dini waliohusika na genocide ya Rwanda? Ninawaheshimu mno kwa usomi wao ila ninawadharau kwa hizo double standards walizo nazo.