Uber wametusaidia sana sisi wasanii

Uber wametusaidia sana sisi wasanii

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Ilikuwa shida sana kutoka sehemu yoyote ile mpaka utafute sehemu zilipo bajaji kisha upande ndio uanze safari.

Ule umbali wa kuzitafuta bajaji unakuta watu wanakushangaa au ukifika stand unaanza kuomba bajaji akupunguzie bei wakati wao wanajua una hela kumbe huna lolote.

Uber & Taxify zimetuondolea sana aibu wasanii kipindi tukifulia.
 
baba tupac huo wimbo wako unaitwaje?
😀😀😀😀
 
huyu bila shaka atakuwa ni wakutoka tasnia ya bongomuvi. sampuli za kina steve nyerere
 
Back
Top Bottom