BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Ilikuwa shida sana kutoka sehemu yoyote ile mpaka utafute sehemu zilipo bajaji kisha upande ndio uanze safari.
Ule umbali wa kuzitafuta bajaji unakuta watu wanakushangaa au ukifika stand unaanza kuomba bajaji akupunguzie bei wakati wao wanajua una hela kumbe huna lolote.
Uber & Taxify zimetuondolea sana aibu wasanii kipindi tukifulia.