Uber wametusaidia sana sisi wasanii

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Ilikuwa shida sana kutoka sehemu yoyote ile mpaka utafute sehemu zilipo bajaji kisha upande ndio uanze safari.

Ule umbali wa kuzitafuta bajaji unakuta watu wanakushangaa au ukifika stand unaanza kuomba bajaji akupunguzie bei wakati wao wanajua una hela kumbe huna lolote.

Uber & Taxify zimetuondolea sana aibu wasanii kipindi tukifulia.
 
Kweli wasanii zinatusaidia sana!!...maana hali zetu ni tete tofauti na watu wanavyotuchukulia
 
baba tupac huo wimbo wako unaitwaje?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
huyu bila shaka atakuwa ni wakutoka tasnia ya bongomuvi. sampuli za kina steve nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…