Ubinadamu ndipo ulipofika hapa.Wapalestina wategwa kwa chakula mithili ya kuwapata samaki au wanyama porini

Ubinadamu ndipo ulipofika hapa.Wapalestina wategwa kwa chakula mithili ya kuwapata samaki au wanyama porini

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Ushirikiano wa Marekani na Israel uliwaza sana namna ya kuwamaliza Hamas ambao wameonekana sugu kushindwa kwa mbinu zote zilizotumika mpaka sasa.

Chakula ikaonekana ndicho chambo kizuri cha kuwakamata baada ya kuwa wamezuliliwa kupata chakula kwa miezi kadhaa.

Ndipo ushirikiano huo ulipounda shirika la kugawa chakula ambapo chakula kichache kimeingizwa ndani ya Gaza na kuwekewa vituo vichache zaidi kusini kabisa ya Gaza na vichache katikati ya eneo hilo.

Walio kaskazini wametakiwa wakifuate chakula kusini ili walazimike kupiga kiguu na njia na kumulikwa wakati wakielekea huko na kila anayeonekana na umri na ukakamavu wa kutembea anapigwa,

Vituo vyenyewe vimewekwa pembezoni mwa kambi za muda za kijeshi.Wote wanaofuata chakula na kudhaniwa ni Hamas mfano wa wale wanaotembea kutoka kaskazini wanafuatwa na droni na kuuliwa

Kwa mtindo huo kila siku idadi ya wanaouliwa kwa kutegwa kwa chakula bado ipo juu inayokaribia 100.

Aliyeteuliwa mwanzo kusimamia mpango huo wa ugawaji chakula amejiuzulu kwa kuona ni wa kidhalilishaji kwa binadamu na utasababisha watu wengi kudhurika.Mashirika mengi ya kibinadamu na UN yamepinga mpango huo lakini kama kawaida Israel na Marekani huwa hawasikilizi maneno ya watu katika kufanikisha mipango yao miovu kwa binadamu wenzao.
 
October 7th, 2023! Majinga yakaishia kukenua bila kujua kiza cha kutisha kiko karibu. Nasrallah, Haniye, Sinwar, et. al yako wapi yale magaidi?

Fyekelea mbali moja baada ya jingine including yaliyokuwa mimba!
 
Mleta mada anahangaika sana kubadilisha I'd kila mara na kuchangia kwenye mada anayotoa. Bure kabisa.
 
Wajaalana wanapagawa Hamas yuko wapi? Mbona hawaishi tu?
 
Hamasi wanaiba chakula cha rai,wajitokeze front kama wao ni wanaume waache kujifika miongoni mwa raia
 
Wajaalana wanapagawa Hamas yuko wapi? Mbona hawaishi tu?
Hamas ni mfumo, kama ule wa Kisovieti,kuimaliza inatakiwa akili kubwa, na muda wa.kutosha hasa inapokuwa ni vita ya siraha, vinginevyo raia wasio na hatia watakufa wengi.
 
Hamasi wanaiba chakula cha rai,wajitokeze front kama wao ni wanaume waache kujifika miongoni mwa raia
Huu wa mayahudi nao sijui ni uanaume gani wa kupigana kwa kutumia mabomu yanayoyeyusha mpaka mifupa kupigana na watu wasiokuwa na hata kifaru kimoja wachilia mbali ndege za kivita
Ni uwanaume gani wa kusubiri shehena za silaha kila siku kutoka taifa kubwa wakati anaowapiga nao hajui walipo, ni kwa dhana tu kuwa ni Hamas kumbe ni watoto na wanawake zaidi.
 
Back
Top Bottom