Echolimali ndipo hushangilia hapo kwa vigelegele....Hee! hayawi hayawi sasa wapalestina wanagombea chakula...USA ndio Baba wa magaidi duniani afu anajidai eti nimgombea haki.
Kila kukicha anapeleka mabomu huko Israel afu anajidai ndio mtetea haki huyo.
Safi sana. Migaidi ni mishetaniEcholimali ndipo hushangilia hapo kwa vigelegele....Hee! hayawi hayawi sasa wapalestina wanagombea chakula...
Anapata faida ganiUSA ndio Baba wa magaidi duniani afu anajidai eti nimgombea haki.
Kila kukicha anapeleka mabomu huko Israel afu anajidai ndio mtetea haki huyo.
Hana haja ya kubadili tupo wachangiajiMleta mada anahangaika sana kubadilisha I'd kila mara na kuchangia kwenye mada anayotoa. Bure kabisa.
Hamas ni mfumo, kama ule wa Kisovieti,kuimaliza inatakiwa akili kubwa, na muda wa.kutosha hasa inapokuwa ni vita ya siraha, vinginevyo raia wasio na hatia watakufa wengi.Wajaalana wanapagawa Hamas yuko wapi? Mbona hawaishi tu?
Huu wa mayahudi nao sijui ni uanaume gani wa kupigana kwa kutumia mabomu yanayoyeyusha mpaka mifupa kupigana na watu wasiokuwa na hata kifaru kimoja wachilia mbali ndege za kivitaHamasi wanaiba chakula cha rai,wajitokeze front kama wao ni wanaume waache kujifika miongoni mwa raia
Zile Allah Akbar za October 7 zinaendelea kupatiwa majibu.Echolimali ndipo hushangilia hapo kwa vigelegele....Hee! hayawi hayawi sasa wapalestina wanagombea chakula...