Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,759
- 4,872
Hili tulitabiri, viongozi wa CHADEMA mliwaponza waliostahili kugombea nafasi za ngazi za chini kwa kususia uchaguzi. Nilitegemea msimamo huo huo hadi mwakani kama CUF walivyoonesha msimamo wao Z'bar kwa miaka yote.
Lakini kwa kujua ulaji wa viongozi huko Bungeni, hata kabla ya mwezi mmoja kupita, eti sasa Busara imewarudia na kuanza kutafuta suluhu na kujikusanya Mwanza kwenye sherehe za kitaifa.
Huo ni ubinafsi na uroho wa kutaka nafasi zenu zisiharibike wakati mmeharibu nafasi za wenzetu kwa kujidai msimamo mkali.