Ubinafsi na Uchama wa Kikwete umechangia Tanzania kufika hapa majangani

Ubinafsi na Uchama wa Kikwete umechangia Tanzania kufika hapa majangani

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Ubinafsi na Uchama wa Kikwete umechangia Tanzania kufika hapa majangani. Anachojali ni familia yake, marafiki zake na wapambe. Bila huyu mddudu tungekuwa na katiba mpya, mifumo imara ya mahakama na bunge la wananchi. Sasa tumejaza wala rushwa, mahakama ya kisiasa na bunge butu!!!!
 
Umemaliza !
 
Naunga mkono hoja. Hata hizi timbwili za kina Gwajiboi ni yy kasababisha kweny mkutano mkuu wa CCM kwa kumpitisha bibitozo pekeake
 
Hakuna uchama, ni ubinafsi wake tu. Halafu anafanya haya uzeeni! Huyu mtu anatucost sana sana.
 
Ubinafsi na Uchama wa Kikwete umechangia Tanzania kufika hapa majangani. Anachojali ni familia yake, marafiki zake na wapambe. Bila huyu mddudu tungekuwa na katiba mpya, mifumo imara ya mahakama na bunge la wananchi. Sasa tumejaza wala rushwa, mahakama ya kisiasa na bunge butu!!!!

Kikwete ni mtu mmoja mjinga mjibga tu.

Mimi sitamuangakia sana Kikwete nitaandakia oicha jubwa zaidi.

Watanzania wengi mnapenda sana kumtafuta mchawi mtu nmoja, na kumsingizia yeye matatizo yenu ya miaka na miaka.

Na jingine mnapenda kutumia kama kisingizio ni katiba.

Kwa matatizo ambayo hata kwenye katiba ya sasa hayaruhusiwi. Mna matatizo yenu tu ya utamaduni wa uoga na ubinafsi na nyie, mmeshindwa kusimamia hata mambo ambayo mmepewa haki na katiba ya sasa.

Hivyo hivyo mnavyomsema Kikwete ni mbinafsi na Watanzania wengi mko hivyo.

Kikwete si tatizo.

Kikwete ni matokeo ya matatizo mengi yaliyono katika jamii kwa muda mrefu.

Kikwete kapitia taasisi nyingi za Tanzania.

Kapitia famikia, shule, chuo, ndoa, jeshi, bunge, chama, serikali, mpaka kaja kuwa rais.

Kama taasisi zote hizo hazijaweza kumtengeneza akawa kiongozi bora, basi taasisi zote hizo zina matatizo.

Kama mtu mjinga kama Kikwete ameweza kuwa rais, basi nchi nzima ina matatizo.

Na hata asingekuwa Kikwete rais, angekuwa mtu mwingine, tuseme Jaka Mwambi, si Jakaya Mrisho, basi tungekuwa hapa tunamsema Jaka Mwambi alivyo mbinafsi.

Kwa sababu tatizo la msingi si mtu.

Tatizo la nsingi ni mfumo uliomtengeneza huyo mtu.

Tatizo la msingi ni utamaduni uliomtengeneza huyo mtu.
 
Back
Top Bottom