Natena wiza
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 428
- 676
[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukimroga,tukammaliza kabisaLeo mlikuwa mnakula hamsa [emoji23][emoji23]..
Baleke leo hakuamka vizuri
Twende na takwimu.Yanga mna matatizo......
Ni lini mliwahi kuwa bora dgidi ya Simba?
Mara zote mmekuwa mkiponea tundu la sindano.
Mpira huwa unaangalia?Twende na takwimu.
Jamaa huwa hana tamaa, anatoa mapande tu ya upendo. Mayele yeye anachowaza ni kujipigia tu golini. Hata kama yupo mbali na goli.Kule mbele anaecheza kitimu ni yule Kenedy Juma sorry nani vile Musonda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo mlikuwa mnakula hamsa [emoji23][emoji23]..
Baleke leo hakuamka vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii week kazi unayoo, utatesekaa sanaaaSiyo hakuamka vizuri Bali hana uwezo, huyo anazifunga timu mbovu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah umeruka viunzi..lala baba kesho nayo siku
Star wa team muacheni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa huwa hana tamaa, anatoa mapande tu ya upendo. Mayele yeye anachowaza ni kujipigia tu golini. Hata kama yupo mbali na goli.
Labda aliogopa asionekane kama Robertinho alivomtoa Chama akazomewa na watu wa Simba. Mimi kwa mtazamo wangu, inaonekana Inonga ameshamsoma Mayele na anammudu. Jana Gemu ilimkataa na labda Aziz Ki, mudathir na Morrison waliingizwa wakati jua limeshachwea na jahazi limeanza kuzama. Labda angewaingiza mapema matokeo yangekuwa tofauti.Inashangaza kocha alimwacha hadi dk za mwisho
Kabisaa upo sahihi sana!MAKOLO jana wangekufa mapema tu kama mayele angeacha ubinafsiMayele ni mchezaji mzuri hasa kwa jitihada zake za kujituma awapo uwanjani. Ila kwa mtazamo wangu licha ya mazuri yake kwa upande mwingine amekuwa akiighalimu sana timu kutokana na uchoyo uliopitiliza. Mechi ya leo na Simba amepiga mashuti mengi akiwa katikati ya uwanja badala ya kuwapa wenzake waliokuwa wamefungua.
Njoo kwenye mechi zile mbili na Al Hilal (home & away) ubinafsi wake ulichangia Yanga kufunga magoli machache hapa nyumbani na kupelekea kutolewa. Amekuwa akilazimisha kufanya vitu vingi peke ake akisahau kuwa mpira ni mchezo wa timu.
Anacheza kutafta "Personal glory" kuliko "Team success". Mara kadhaa nimekua nikimuona kocha akimkumbusha lakini habadiliki.
Mechi ya Dabi km ya leo ni mechi inayochezwa kimkakati sana. Ukicheza kibinafsi vile unawaraisishia wapinzani kukukaba na ndivyo Simba walivyofanikiwa. Kutokana na sifa anazosifiwa Mayele amekuwa akicheza kifadha sana.
Anapoteza mipira mingi na kwa uzembe kabisa! Siamini kama Nabi ameshindwa kumbadilisha na kama ni hivo basi uongozi uingilie kati kwa manufaa ya timu.
Namkumbusha Mayele, mashabiki wa Simba na Yanga huwa hawana mapenzi ya kudumu. Asione watu wapo kimya siku wakilipuka asishangae akianza kuzomewa, kama haamini amuulize Boko. Licha ya timu nzima kutocheza vizuri leo ila Mayele kazingua sana.
Hongereni Simba though, na poleni Utopolo.
Hata kibu mlikua mnasema hivyo hivyo lakini[emoji23]Siyo hakuamka vizuri Bali hana uwezo, huyo anazifunga timu mbovu tu.
Hata saa mbovu kuna majira itasoma kwa usahihi tu, ndio Kibu Denis.Hata kibu mlikua mnasema hivyo hivyo lakini[emoji23]
Hizi ni shida zenu hazituhusu ukweli mchungu ni kwamba mmepakatwa, full stopKabisaa upo sahihi sana!MAKOLO jana wangekufa mapema tu kama mayele angeacha ubinafsi
Hahahahaha sema kibu ana tabia mbaya sasa ndio Nini kumfanyia mwenzio hivi[emoji23][emoji23][emoji23]Hata saa mbovu kuna majira itasoma kwa usahihi tu, ndio Kibu Denis.
Beshti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbuka alikupasua kwny siku yako? Huyo huyo Jini baleke
Umebadili identity mkuuNyie mna siri kumbe Mayele alikuwep9?
Ndio mkuuUmebadili identity mkuu