Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
NakupendaNina shost yangu ni mfanyabiashara mzuri tu wa nafaka na anaingiza faida nzuri kwa sasa.
Ana mtu wake ambaye alisimama bega kwa bega kuhakikisha anafika hapo alipo. Huyo mtu wake kipindi hicho aliamua kuwekeza akili, mawazo na hela kwaajili ya kuhakikisha mpenzi wake anasimama kibiashara. Kweli bi shost wangu alifanikiwa kufikia malengo kwa msaada wa huyo shem.
Bahati mbaya mwaka jana mtu wake akasimamishwa kazi ghafla. Mpaka hivi sasa hajafanikiwa kupata kazi sehemu nyingine. Kama mmavyofahamu hapa dar maisha yalivyo magumu...mkaka wa watu anaishi kwa kuunga unga. Kinachonishangaza ni kuwa huyu mtu wake ambaye ni shost yangu, haonyeshi ushirikiano kwenye matatizo aliyonayo mtu wake. Kwa bahati mbaya, anamsema vibaya akiwa na sisi mashost zake.
Kwa story zake anadai mtu wake inafikia hatua anaweza kushinda siku mbili hajala kwa kukosa hela ya chakula. Na anachosema huyu best yangu ni kuwa huyo mtu wake wala hajawahi kumuomba msaada wowote. Mimi namuambia akuombe msaada kivipi wakati hali yake unaijua na unaweza ukamsitili? Anachojibu ndicho kilichonifanya nije nianzishe thread hapa. Anasema apambane na hali yake.
Huu ubinafsi tulionao utatufanya tuendelee kuona wanaume hawafai japo na mimi nimetendwa na mwanaume kiasi cha kunifanya niogope kuingia kwenye mahusiano mengine.
Ushauri wangu kwa wanawake wenzangu. Wanaume ni bidhaa adimu ambayo kipata na kuishikilia ikawa yako, ni bahati sana. Ndio maana mimi wa kwangu nilitaka nianze naye chini, lakini alinigeuka. Sijui alifikwa na nini, mpaka leo sipati jibu
Yeah! But the difficulties vary!Mnhhhh kila kumbe kupitia magumu? Be real
Pole mno kaka! Yaani keshakuchuna parefu tayari?Bob ogopa sana kukutana na Mtu mwenye Nia yake kwako na sii mapenzi. Usikariri eti ni kumfanyia Mtu jambo ndo akulipize... Lengo lake lilikuwa mtaji wa maisha kashapata Sina thamani Tena.
Uamuzi wa kinyama huo! Ila ni mzuri kiasi fulani!Wanawake ni wabinafsi sana, dawa ya mwanamke ni kuishi nae na kumuacha kama ulivyo mkuta. Usimfungulie biashara wala kumuendeleza muache kama alivyo. Unapo muimarisha mwanamke anakuona wewe ni mjinga hasa ukiyumba au kupata changamoto yotote
Sometimes kuna mahala hua mnakosea bt hua n wabishi kukubali mnakosea mkiamn mpo right ila Ur man ndo hayupo right ....wasopenda kubishana hujiengua kimya kimya..Ushauri wangu kwa wanawake wenzangu. Wanaume ni bidhaa adimu ambayo kipata na kuishikilia ikawa yako, ni bahati sana. Ndio maana mimi wa kwangu nilitaka nianze naye chini, lakini alinigeuka. Sijui alifikwa na nini, mpaka leo sipati jibu
hii kitu nilijuaga n Peke yangu ....Mimi sijapata bahati ya kupendwa tofauti na yule tuliye cheza naye baba na mama enzi hizo.
Inawezamekana huyo dada alipitia magumu, ameamua awe selfish,sisi wanawake ni watu wa huruma ila tukijeruhiwa tunakuwa viumbe wengine kabisaaa
Duuuh....Nina shost yangu ni mfanyabiashara mzuri tu wa nafaka na anaingiza faida nzuri kwa sasa.
Ana mtu wake ambaye alisimama bega kwa bega kuhakikisha anafika hapo alipo. Huyo mtu wake kipindi hicho aliamua kuwekeza akili, mawazo na hela kwaajili ya kuhakikisha mpenzi wake anasimama kibiashara. Kweli bi shost wangu alifanikiwa kufikia malengo kwa msaada wa huyo shem.
Bahati mbaya mwaka jana mtu wake akasimamishwa kazi ghafla. Mpaka hivi sasa hajafanikiwa kupata kazi sehemu nyingine. Kama mmavyofahamu hapa dar maisha yalivyo magumu...mkaka wa watu anaishi kwa kuunga unga. Kinachonishangaza ni kuwa huyu mtu wake ambaye ni shost yangu, haonyeshi ushirikiano kwenye matatizo aliyonayo mtu wake. Kwa bahati mbaya, anamsema vibaya akiwa na sisi mashost zake.
Kwa story zake anadai mtu wake inafikia hatua anaweza kushinda siku mbili hajala kwa kukosa hela ya chakula. Na anachosema huyu best yangu ni kuwa huyo mtu wake wala hajawahi kumuomba msaada wowote. Mimi namuambia akuombe msaada kivipi wakati hali yake unaijua na unaweza ukamsitili? Anachojibu ndicho kilichonifanya nije nianzishe thread hapa. Anasema apambane na hali yake.
Huu ubinafsi tulionao utatufanya tuendelee kuona wanaume hawafai japo na mimi nimetendwa na mwanaume kiasi cha kunifanya niogope kuingia kwenye mahusiano mengine.
Ushauri wangu kwa wanawake wenzangu. Wanaume ni bidhaa adimu ambayo kipata na kuishikilia ikawa yako, ni bahati sana. Ndio maana mimi wa kwangu nilitaka nianze naye chini, lakini alinigeuka. Sijui alifikwa na nini, mpaka leo sipati jibu
🤣Mwanaume unaweza kuihudumia familia mda wote ,kama hamna kitu ndani mwanamke anaagiza tu ,hata awe na hela utakuta hata chumvi hanunui. Ikitokea huna hela haelewi zaidi atafanya mambo yake binafsi.
Anahongwa ili kutop up matumizi ys familia.Huyo dada hakumpenda jamaa,ila mwanamke akikupenda NYIEEEE
Back to me mama watoto hana kazi ni mama wa nyumbani,ila can u imagine huwa anabana hela ninayomuachia then ananichukulia zawadi kali sana,,halafu ukichek hela ninayomuachia ni kuduchuu mno
Selfish kwa mtu aliekupambania mpaka ukafika hapo?? Huyo dada ana roho mbaya tu,Inawezamekana huyo dada alipitia magumu, ameamua awe selfish,sisi wanawake ni watu wa huruma ila tukijeruhiwa tunakuwa viumbe wengine kabisaaa