Ubinafsi wetu wanawake ndio chanzo cha wanaume kutuumiza

Kuna mambo mawili makubwa ambayo nimejifunza katika maisha yangu ya kuishi na wanawake:

1. Mwanamke hata umsaidie kiasi gani, na kwa muda mrefu kiasi gani, ikitokea siku UKASHINDWA kumsaidia kwa kitu kidogo tu, ule msaada wote wa nyuma hua UNASAHAULIKA! Yaani mwanamke hata umsomeshe, umjengee nyumba, mnunulie gari, mfungulie biashara nk siku ikitokea umefilisika na akaona kabisa huna tena msaada kwake, anasahau kila kitu. Mwanamke anakuthamini kama unamsaidia SASA.

2. Unapokua na mwanamke, chochote unachomfanyia, hata umnunulie NDEGE, meli, treni nk, yeye akikupa papuchi tu anahesabu kwamba AMEKULIPA kwa hicho ulichomfanyia. Kwahiyo akilini mwake ni kwamba HANA DENI kwako maana si ameshakupa mzigo? Ndio maana huyu anadiriki kusema jamaa apambane na hali yake maana yeye anahesabu kwamba jamaa alimsaidia IN EXCHANGE for mbunye kwahiyo WALISHAMALIZANA!


 
🤣🤣
 
Sawa ni mama zetu ila wanawake wana ROHO MBAYA SANA, mnaweza kulala njaa ndani (familia) ila mwanamke ana hela.
Ukweli mtupu, lakini pia kuna wanawake bwana! Yaani atahakikisha anasitiri aibu ya mume kwa gharama yoyote.
Aina ya wanawake tajwa na mleta uzi ni wauwaji kabisa.
 
Ukweli mtupu, lakini pia kuna wanawake bwana! Yaani atahakikisha anasitiri aibu ya mume kwa gharama yoyote.
Aina ya wanawake tajwa na mleta uzi ni wauwaji kabisa.
Hao wa hivyo ni wachache saana tena sana wenye huo moyo wa kumsitiri mwanaume. Wengi hata wake wa ndoa kabisa ikitokea mwanaume kapigika aisee hua ni shida sana.
 
Shemeji yenu bado namchora level yake ya UBINAFSI.Mpaka sasa nmegundua hata ukimpa hela saa moja iliyopita kama zawadi ni ngumu kutoa hapo hela kidogo kukununulia kitu ROHO INAMUUMA SANA nlimsoma, Nlimpa laki kama zawadi wakati tunarudi shoping ya vitu vyake tukapitia kununua icecream alikuwa anasita kutoa hela kununua akati me huwa namnunuliaga daily zawadi nkirud om.Afu eti anataka nimfungulie biashara kubwa akati nna akili zangu kichwani ni ivi siwezi fanya ivo japo nawish asingekuwa mbinafsi nimfanyie..... nnapanga kufungua akaunti za siri, Niwe naficha pesa zangu na kufanya biashara zangu maana me mwenyewe mbinafsi PUMBAAAAF MTAISOMA NAMBA
 
Pole sana aisee, ila ndio ukweli wenyewe ulivyo. Wanawake wana ubinafsi hatari hasa kwenye ishu ya pesa loh.

Kibaya zaidi wengi vichwa panzi, yani mtu aliemtupia boya au kamba ili asizame ndani ya kina kirefu cha maji ndiye huyo ambaye siku moja atakuja kumnyima msaada tena kwa macho makavu hata wa kupiga kelele tu watu waje kumuokoa asizame.

Hizi changamoto za mpito tu ila ipo siku jamaa atainuka tena ila na funzo kuwa mwanamke aliye nae siye!
 
Bob ogopa sana kukutana na Mtu mwenye Nia yake kwako na sii mapenzi. Usikariri eti ni kumfanyia Mtu jambo ndo akulipize... Lengo lake lilikuwa mtaji wa maisha kashapata Sina thamani Tena.
Yeah kuna watu wanakuja kwenye maisha yako kukutumia kama daraja! Its hard to believe ila hao watu wapo!
 
Inawezamekana huyo dada alipitia magumu, ameamua awe selfish,sisi wanawake ni watu wa huruma ila tukijeruhiwa tunakuwa viumbe wengine kabisaaa
Kwamba ndio kisingizio! Upitie magumu yapi hayo ambayo mwanaume ana moyo mpaka wa kukufungulia biashara? Huyo demu ni kilaza!

Hata kama alitendwa before sio justification ya kumuumiza huyu mtu wa sasa.
 
Kwamba unataka kusema mwanamme mwenye moyo wa kukuendeleza wewe binafsi kwa gharama na nguvu zake awe ana matatizo na wewe?

Unless otherwise kama jamaa hana mashine nzima!
 
Nlimfanyia mpenzi mpaka birthday lakin leo hata salamu..sipati Hawa viumbe sio wa kuwaamini kabisaaaa...wapo kimaslahi tu..
Hahahahahha mi nilimlipia mpaka kodi ila dah! Wacha nilewe tu😅😅😅
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Acha nicheke mie,una uhakika hakuna kidume anayemtunza kwa vimsimbazi msimbazi?.
Hata kama anamtumia hela ila mwanamke akikupenda hela yeyote anayopata iwe safi au chafu lazma ata spend na wewe tu kipenz chake 😅!

Akiwa hakupendi ni vice versa, zitatoka kwako ziende kwa asiyejulikana huku wewe unaambulia sina hela na vichambo lukuki!
 
Hongela mkuu
 
Ukweli mtupu, lakini pia kuna wanawake bwana! Yaani atahakikisha anasitiri aibu ya mume kwa gharama yoyote.
Aina ya wanawake tajwa na mleta uzi ni wauwaji kabisa.
Yeah wanawake wapo wa kukusitiri na fedhea za dunia wapo wengi tu! Ila masheitwani pia wapo
 
Huyo mnunulie chips tu! Kama unampa laki anaona hatari kutumia hata elfu 5 juu yako ni noma
 
Kwa hiyo Jamaa aendelee kufurahia bila kujali mkewe amezipataje au siyo?!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…