TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Kuna mambo mawili makubwa ambayo nimejifunza katika maisha yangu ya kuishi na wanawake:
1. Mwanamke hata umsaidie kiasi gani, na kwa muda mrefu kiasi gani, ikitokea siku UKASHINDWA kumsaidia kwa kitu kidogo tu, ule msaada wote wa nyuma hua UNASAHAULIKA! Yaani mwanamke hata umsomeshe, umjengee nyumba, mnunulie gari, mfungulie biashara nk siku ikitokea umefilisika na akaona kabisa huna tena msaada kwake, anasahau kila kitu. Mwanamke anakuthamini kama unamsaidia SASA.
2. Unapokua na mwanamke, chochote unachomfanyia, hata umnunulie NDEGE, meli, treni nk, yeye akikupa papuchi tu anahesabu kwamba AMEKULIPA kwa hicho ulichomfanyia. Kwahiyo akilini mwake ni kwamba HANA DENI kwako maana si ameshakupa mzigo? Ndio maana huyu anadiriki kusema jamaa apambane na hali yake maana yeye anahesabu kwamba jamaa alimsaidia IN EXCHANGE for mbunye kwahiyo WALISHAMALIZANA!

Nina shost yangu ni mfanyabiashara mzuri tu wa nafaka na anaingiza faida nzuri kwa sasa.
Ana mtu wake ambaye alisimama bega kwa bega kuhakikisha anafika hapo alipo. Huyo mtu wake kipindi hicho aliamua kuwekeza akili, mawazo na hela kwaajili ya kuhakikisha mpenzi wake anasimama kibiashara. Kweli bi shost wangu alifanikiwa kufikia malengo kwa msaada wa huyo shem.
Bahati mbaya mwaka jana mtu wake akasimamishwa kazi ghafla. Mpaka hivi sasa hajafanikiwa kupata kazi sehemu nyingine. Kama mmavyofahamu hapa dar maisha yalivyo magumu...mkaka wa watu anaishi kwa kuunga unga. Kinachonishangaza ni kuwa huyu mtu wake ambaye ni shost yangu, haonyeshi ushirikiano kwenye matatizo aliyonayo mtu wake. Kwa bahati mbaya, anamsema vibaya akiwa na sisi mashost zake.
Kwa story zake anadai mtu wake inafikia hatua anaweza kushinda siku mbili hajala kwa kukosa hela ya chakula. Na anachosema huyu best yangu ni kuwa huyo mtu wake wala hajawahi kumuomba msaada wowote. Mimi namuambia akuombe msaada kivipi wakati hali yake unaijua na unaweza ukamsitili? Anachojibu ndicho kilichonifanya nije nianzishe thread hapa. Anasema apambane na hali yake.
Huu ubinafsi tulionao utatufanya tuendelee kuona wanaume hawafai japo na mimi nimetendwa na mwanaume kiasi cha kunifanya niogope kuingia kwenye mahusiano mengine.
Ushauri wangu kwa wanawake wenzangu. Wanaume ni bidhaa adimu ambayo kipata na kuishikilia ikawa yako, ni bahati sana. Ndio maana mimi wa kwangu nilitaka nianze naye chini, lakini alinigeuka. Sijui alifikwa na nini, mpaka leo sipati jibu