Ubinafsi wetu wanawake ndio chanzo cha wanaume kutuumiza

zelia

New Member
Joined
Dec 19, 2015
Posts
4
Reaction score
253
Nina shost yangu ni mfanyabiashara mzuri tu wa nafaka na anaingiza faida nzuri kwa sasa.
Ana mtu wake ambaye alisimama bega kwa bega kuhakikisha anafika hapo alipo. Huyo mtu wake kipindi hicho aliamua kuwekeza akili, mawazo na hela kwaajili ya kuhakikisha mpenzi wake anasimama kibiashara. Kweli bi shost wangu alifanikiwa kufikia malengo kwa msaada wa huyo shem.

Bahati mbaya mwaka jana mtu wake akasimamishwa kazi ghafla. Mpaka hivi sasa hajafanikiwa kupata kazi sehemu nyingine. Kama mmavyofahamu hapa dar maisha yalivyo magumu...mkaka wa watu anaishi kwa kuunga unga. Kinachonishangaza ni kuwa huyu mtu wake ambaye ni shost yangu, haonyeshi ushirikiano kwenye matatizo aliyonayo mtu wake. Kwa bahati mbaya, anamsema vibaya akiwa na sisi mashost zake.

Kwa story zake anadai mtu wake inafikia hatua anaweza kushinda siku mbili hajala kwa kukosa hela ya chakula. Na anachosema huyu best yangu ni kuwa huyo mtu wake wala hajawahi kumuomba msaada wowote. Mimi namuambia akuombe msaada kivipi wakati hali yake unaijua na unaweza ukamsitili? Anachojibu ndicho kilichonifanya nije nianzishe thread hapa. Anasema apambane na hali yake.

Huu ubinafsi tulionao utatufanya tuendelee kuona wanaume hawafai japo na mimi nimetendwa na mwanaume kiasi cha kunifanya niogope kuingia kwenye mahusiano mengine.

Ushauri wangu kwa wanawake wenzangu. Wanaume ni bidhaa adimu ambayo kipata na kuishikilia ikawa yako, ni bahati sana. Ndio maana mimi wa kwangu nilitaka nianze naye chini, lakini alinigeuka. Sijui alifikwa na nini, mpaka leo sipati jibu
 
Huyo dada hakumpenda jamaa,ila mwanamke akikupenda NYIEEEE
Back to me mama watoto hana kazi ni mama wa nyumbani,ila can u imagine huwa anabana hela ninayomuachia then ananichukulia zawadi kali sana,,halafu ukichek hela ninayomuachia ni kuduchuu mno
 
Kama mwanamke sio Mke Wako na HAUJAMZALISHA WATOTO. usimsomeshe.. usimuanzishie biashara, na hakika usijenge kabisa kwao.. ni hela ya chipsi tu ndio umpe..
 
Huyo dada hakumpenda jamaa,ila mwanamke akikupenda NYIEEEE
Back to me mama watoto hana kazi ni mama wa nyumbani,ila can u imagine huwa anabana hela ninayomuachia then ananichukulia zawadi kali sana,,halafu ukichek hela ninayomuachia ni kuduchuu mno
Haupigiwi!!!?
haupigwi kubum kubam hapo kaka mkubwa
 
Nina shost yangu ni mfanyabiashara mzuri tu wa nafaka na anaingiza faida nzuri kwa sasa.
Ana mtu wake ambaye alisimama bega kwa bega kuhakikisha anafika hapo alipo. Huyo mtu wake kipindi hicho aliamua kuwekeza akili, mawazo na hela kwaajili ya kuhakikisha mpenzi wake anasimama kibiashara. Kweli bi shost wangu alifanikiwa kufikia malengo kwa msaada wa huyo shem.

Bahati mbaya mwaka jana mtu wake akasimamishwa kazi ghafla. Mpaka hivi sasa hajafanikiwa kupata kazi sehemu nyingine. Kama mmavyofahamu hapa dar maisha yalivyo magumu...mkaka wa watu anaishi kwa kuunga unga. Kinachonishangaza ni kuwa huyu mtu wake ambaye ni shost yangu, haonyeshi ushirikiano kwenye matatizo aliyonayo mtu wake. Kwa bahati mbaya, anamsema vibaya akiwa na sisi mashost zake.

Kwa story zake anadai mtu wake inafikia hatua anaweza kushinda siku mbili hajala kwa kukosa hela ya chakula. Na anachosema huyu best yangu ni kuwa huyo mtu wake wala hajawahi kumuomba msaada wowote. Mimi namuambia akuombe msaada kivipi wakati hali yake unaijua na unaweza ukamsitili? Anachojibu ndicho kilichonifanya nije nianzishe thread hapa. Anasema apambane na hali yake.

Huu ubinafsi tulionao utatufanya tuendelee kuona wanaume hawafai japo na mimi nimetendwa na mwanaume kiasi cha kunifanya niogope kuingia kwenye mahusiano mengine.

Ushauri wangu kwa wanawake wenzangu. Wanaume ni bidhaa adimu ambayo kipata na kuishikilia ikawa yako, ni bahati sana. Ndio maana mimi wa kwangu nilitaka nianze naye chini, lakini alinigeuka. Sijui alifikwa na nini, mpaka leo sipati jibu
Mnh mbona kama umeniona Na Mimi?? Mi nimetukanwa Live Kisa Nimegundua uwongo wake eti yupo mgonjwa Hosp nikawa natuma Hela za matibabu kumbe yupo kwenye mishe zake aisee hata samahani ya kinafiki hakuna ni kashfa kwenda mbele.... Wanawake mtuhurumie Kidogo tuu
 
Nafikiri kuna kitu ulikuwa ukimfanyia na ndio maana akataka kukukomoa. Kifupi unastahili na una hatia. Muombe radhi yaishe.
 
Sanamu Yako Tunaijenga Wapi Nataka Nitangaze Tender Kwenye Gazeti. Tafadhali Taja Mkoa Wilaya Kata Tarafa Kijiji!!
Ukishindwa Kabisa Mimi Kwakuwa Natoa Cash
Nitapenda Ijengwe Msamvu Round About
Vigezo Ni Uelekeo Wa Dodoma
 
Back
Top Bottom