Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

Mawazo yako tu yamejikita kwenye negative. Huyo dada yuko vzuri so hata mwanaume akisifia sioni shida. Duniani Kuna vtu vzuri kuvisifia sio dhambi
Uzuri wa mtu/kitu upo machoni pa mtu, don't general..! Anauzuri gani mfano.
 
Ukiongea wewe najua kutakua kuna ukweli hapo.
Kwahyo Tcra wameweka non legal document regarding shares za Wasafi Media, Kama makataba wa siri then imekuaje wewe umeujua mpaka kiasi cha shares?
Hapana, nilikuwa namzingua tu yule aliyesema yale ni makaratasi tu manake, kila anayejua bado anajua njia muafaka kabisa ya kutawanya share kuliko hilo la mikataba ya siri!!! Mbali na Clouds, Kusaga ana vyanzo vyake ambavyo wala hana sababu ya kuficha share kwa kutumia mikataba ya siri !
 
Kusaga mwenye sauti ya mwisho that's it!
Kwani wewe ulitaka nani awe na Sauti?,Kusaga ana Hela Mond ana Brand ya Wasafi ,ukijumrisha unapata kampuni,mnaingia mikataba kisheria na mnagawana faida mwisho wa siku.Hivi ww kwa akili yako 45% unazani ni ndogo katika ulimwengu wa biashara (Kamwangalie Mack na Bilgate wana % ngapi alafu ndio utajua dogo ni akili kubwa ) au Mwangalie Mengi kaingia mkataba wa kutengeza magari na HYUNDAI Tanzania,ina maana Mengi ana sauti kushinda Hyundai? Ila anaangalia faida anayoipata kwa kushirikiana na Hyundai na ndio dunia ya biashara ya kisasa inavyoenda.

Tatizo lenu mnasikiliza sana huyo mpuuzi wenu Mange ,ambaye yeye menyewe kafeli maisha ( Msingi K),US inchi ina fursa kibao za ajira lkn kibarua hana,sasa ndio atakuwa na uwezo wa kung'amua dunia ya sasa ya kibiashara inataka nini,kabaki kupiga ramli tu kumuombea Mondi afeli,lakini mimi nakuambia yule Dogo hatofeli..
 
Lakini kusaga kwanini alete upinzani na radio yake?
Nilishaliongea hili vizuri sana hapo awali. Nilisema sababu ya kufanya hivyo ni kumdhibiti mpinzani wa kweli aliyekua anaibukia. Clouds ni watu wa mikakati hasa na ndiyo maana wamebaki in top of the game kwa muda mrefu. Clouds walipoona idadi ya watu wanaowachukia inaongezeka na watu wanatafuta mbadala wa CMG, wakaamua ku fake beef kupitia Diamond na wasafi yake. Kitendo cha kutengeneza beef hilo na kuanzisha Wasafi/Media Group nyingine watu/Mazombi yakaachana na eFM na kwenda Wasafi wakiamini ndiye mshindani hal8si wa Clouds wakiamini Clouds walimuinea Doamond na hivyo wameamua kuwa upande wa Diamond ili kumfuta machozi Diamond poa kupambana kuishusha na kuipoteza Clouds.
Trust me, hizi ngonjera za kuahirishi matamasha, yote ni mikakati maalum ya kuendelea kuifanya Clouds iendelee kutawala Game. Wasafu itapita kama kivuli na Clouds itaendelea kusimama. Ni kama eFM sasa hivi walivyofanikiwa kuifanya, kilicho maarufu eFM kwa sasa ni vibonzo vya Bwakila na Mahusiano ya ya Majizo na Lulu, bila hivyo eFM ni kama haipo tu.
 
Hawezi kuanzia ushindani kama huo ever na Kusaga sio mpuuzi? ITV ni kampuni mama lakini wakati EATV inaanza ,ITV jukumu lake lilikuwa kuilea EATV,Facebook ndio kamapuni mama lakini imezilea Insta,Fb na Twitter na sasa hivi wanahangaika ili Twitter iwe na wafuasi wengi.Hamna mtu ambaye anaweza kufanya mchezo kama huo ni too risk katika dunia ya kibiashara,mtu yoyote anaye anzisha kamapuni mbili ambazo zinazalisha bidhaa zinzaofanana anataka zikuwe paralell ipo hivyo Duniani kote,CMG kuna tatizo tena la kifamilia.
 
Kama nimekuelewa hivi maana jide ule walaka wake alimshutumu sana kusaga kuliko ruge sasa hapa haya mambo ya uhuru wa wanamuziki yanawezeka kweli,
Ni kama vile uchukue chupa ya juisi halafu tena utie tone la mavi na mtu akakwambia kunywa hiyo nadhani hutokunywa.
Haya jamani tukafanye kazi sasa.
 
Hakuna aliyesema 45 ni ndogo sisi tunaongelea nani mwenye Maamuzi siku ya mwisho hivi unafikiri kwa nini simba walimpa dewji 49% badala ya 51% unahisi ni kwa nini?
 
Lakini kusaga kwanini alete upinzani na radio yake?
Aliyeibua hoja ya Kusaga kushindana na radio yake ndio huyo huyo ambae aliibua hoja kwamba Kusaga anamiliki Wasafi kwa 98% na baadae akabadilika akasema 92%!

Baada ya TCRA kutoa tangazo la waombaji wapya wa leseni na kuonesha mgawanyo wa share, hivi sasa amebadili santuri manake haidanganyiki tena! Hoja yake kwa sasa ni kwamba, so long as Kusaga ni majority shareholder basi anaweza kufanya forceful buyout na kuimiliki Wasafi kwa 100%... halafu alisoma MBA huyu!!
 
Hakuna aliyesema 45 ni ndogo sisi tunaongelea nani mwenye Maamuzi siku ya mwisho hivi unafikiri kwa nini simba walimpa dewji 49% badala ya 51% unahisi ni kwa nini?
Hyundai na Mengi nani ana sauti? Watu matajiri cha kwanza wanaangalia faida ya pamoja na Kuna mikataba inayo tambulika kisheria inamlinda kila mwanahisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…