Kwani wewe ulitaka nani awe na Sauti?,Kusaga ana Hela Mond ana Brand ya Wasafi ,ukijumrisha unapata kampuni,mnaingia mikataba kisheria na mnagawana faida mwisho wa siku.Hivi ww kwa akili yako 45% unazani ni ndogo katika ulimwengu wa biashara (Kamwangalie Mack na Bilgate wana % ngapi alafu ndio utajua dogo ni akili kubwa ) au Mwangalie Mengi kaingia mkataba wa kutengeza magari na HYUNDAI Tanzania,ina maana Mengi ana sauti kushinda Hyundai? Ila anaangalia faida anayoipata kwa kushirikiana na Hyundai na ndio dunia ya biashara ya kisasa inavyoenda.
Tatizo lenu mnasikiliza sana huyo mpuuzi wenu Mange ,ambaye yeye menyewe kafeli maisha ( Msingi K),US inchi ina fursa kibao za ajira lkn kibarua hana,sasa ndio atakuwa na uwezo wa kung'amua dunia ya sasa ya kibiashara inataka nini,kabaki kupiga ramli tu kumuombea Mondi afeli,lakini mimi nakuambia yule Dogo hatofeli..