Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Huu ni unyonyaji kama ni kweli, mondi aachane na hii ya kuwalipa 30% awe anawalipa mshahara kwa mwezi wasanii wakubwa kama akina Beyonce walishaachana na hii ya kulipa kwa percentHata Bill Gates na Mack hawamiliki 100 %.kwa mujibu wa bongo5 mameneja wa Diamond wanchukua 30 % anachoingiza Mondi na wanadeserve.
Kila mtu ana uendeshaji wa biashara yake, huwezi jua Mondi kaona nini kupitia kwao, alafu 30% ni ndogo sana, hivi unajua kwa nn CR7 anamjali Mendez, sababu kupitia yy mambo yake yanamuendea vizuri na ndio maana Ronaldo anamlipa hela ndefu na kisiwa kamnunulia. Tuwe na Roho za kizungu na si za kihindi, alafu sizani kama beyonce analipa mshahara, sababu sometimes shows, projects na deals zinakata je utamlipa kwa kutumia source gani.Huu ni unyonyaji kama ni kweli, mondi aachane na hii ya kuwalipa 30% awe anawalipa mshahara kwa mwezi wasanii wakubwa kama akina Beyonce walishaachana na hii ya kulipa kwa percent
Huwezi kufananisha CR7 ,sijui Benyonce na mambo ya wasafi,hivo ni vitu viwili tofautiKila mtu ana uendeshaji wa biashara yake, huwezi jua Mondi kaona nini kupitia kwao, alafu 30% ni ndogo sana, hivi unajua kwa nn CR7 anamjali Mendez, sababu kupitia yy mambo yake yanamuendea vizuri na ndio maana Ronaldo anamlipa hela ndefu na kisiwa kamnunulia. Tuwe na Roho za kizungu na si za kihindi, alafu sizani kama beyonce analipa mshahara, sababu sometimes show na deals zinakata je utamlipa kwa kutumia source gani.
Nani aliyefananisha? Hebu soma uelewe nilipoanzia.Huwezi kufananisha CR7 ,sijui Benyonce na mambo ya wasafi,hivo ni vitu viwili tofauti
Yule mange mwongo sana sanaa wale fans wake n kama misukule.....
Mmmhhh TCRA wamekosea DOMO hawezi kuwa na share 45% hizo 2% ndio zake.
Uyo sokwe iko negativ sanaaMchizi unashusha heshima yako jf,long kitambo lakin siku hizi naona umekua na too much hate au ID yako anatumia dada ako?
Diamond karanga naona kama wamchinga wa morocco _mwenge hawaziuzi tena .Sababu ni ni haswa?Yap ni siku nyingine tena wapendwa wa JF naimani wote tumeamka salama.
Kitendo cha kuonesha document ya #tcra ya kuonesha kua mke wa kusaga ni moja kati ya wamiliki wa #wasafiTv akifuatiwa na #nasibuabdul na huyu mwingine wa tatu ambae siwezi kumtaja.
Naweza sema kua:- Huu muingiliano ni wa kibiashara
mfano mzuri ni
@diamondKaranga
Pamoja na matangazo mengine.
Swali linakujaSali linakuja [emoji41][emoji41]
Okay...Swali linakuja
Ukiona hivyo jua zina demand kubwa..so zinaisha haraka..Diamond karanga naona kama wamchinga wa morocco _mwenge hawaziuzi tena .Sababu ni ni haswa?
The opposite is true ,fanya utafiti mkuu .Ukiona hivyo jua zina demand kubwa..so zinaisha haraka..
Kusaga ana umiliki mkubwa Wasafi CB kuliko Clouds MG.......hata ukimwambie achague moja ataenda Wasafi. Shareholder wakubwa wa CMG akiwemo Rostam Aziz maslahi yao yanalindwa kwa karibu na Boss Ruge!Yap ni siku nyingine tena wapendwa wa JF naimani wote tumeamka salama.
Kitendo cha kuonesha document ya #tcra ya kuonesha kua mke wa kusaga ni moja kati ya wamiliki wa #wasafiTv akifuatiwa na #nasibuabdul na huyu mwingine wa tatu ambae siwezi kumtaja.
Naweza sema kua:- Huu muingiliano ni wa kibiashara
mfano mzuri ni
@diamondKaranga
Pamoja na matangazo mengine.
Wasio na akili timamu ndio humsikiliza na kumuamini yule mpu.mbavuMange kaumbuka eti kusaga 90% mondi 10.