Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

Hata Bill Gates na Mack hawamiliki 100 %.kwa mujibu wa bongo5 mameneja wa Diamond wanchukua 30 % anachoingiza Mondi na wanadeserve.
Huu ni unyonyaji kama ni kweli, mondi aachane na hii ya kuwalipa 30% awe anawalipa mshahara kwa mwezi wasanii wakubwa kama akina Beyonce walishaachana na hii ya kulipa kwa percent
 
Huu ni unyonyaji kama ni kweli, mondi aachane na hii ya kuwalipa 30% awe anawalipa mshahara kwa mwezi wasanii wakubwa kama akina Beyonce walishaachana na hii ya kulipa kwa percent
Kila mtu ana uendeshaji wa biashara yake, huwezi jua Mondi kaona nini kupitia kwao, alafu 30% ni ndogo sana, hivi unajua kwa nn CR7 anamjali Mendez, sababu kupitia yy mambo yake yanamuendea vizuri na ndio maana Ronaldo anamlipa hela ndefu na kisiwa kamnunulia. Tuwe na Roho za kizungu na si za kihindi, alafu sizani kama beyonce analipa mshahara, sababu sometimes shows, projects na deals zinakata je utamlipa kwa kutumia source gani.
 
Kila mtu ana uendeshaji wa biashara yake, huwezi jua Mondi kaona nini kupitia kwao, alafu 30% ni ndogo sana, hivi unajua kwa nn CR7 anamjali Mendez, sababu kupitia yy mambo yake yanamuendea vizuri na ndio maana Ronaldo anamlipa hela ndefu na kisiwa kamnunulia. Tuwe na Roho za kizungu na si za kihindi, alafu sizani kama beyonce analipa mshahara, sababu sometimes show na deals zinakata je utamlipa kwa kutumia source gani.
Huwezi kufananisha CR7 ,sijui Benyonce na mambo ya wasafi,hivo ni vitu viwili tofauti
 
Sasa watu bwana wanazingua sana.Kama Kusaga yumo humo Wasafi tv, mbona watu wanaonesha kama kuna uhasama kati ya Mawingu na Wasafi wakati mmiliki ni yuleyule? Au ndo uzushi tu wa kibongo?

Mfano, hivi sasa matamasha haya ya fiesta yamelete uyanga na simba baina ya media hizi mbili, wakati Joe anapatikana huku na kule.

Mwenye kujua adadavue tafdhali
 
Yap ni siku nyingine tena wapendwa wa JF naimani wote tumeamka salama.

Kitendo cha kuonesha document ya #tcra ya kuonesha kua mke wa kusaga ni moja kati ya wamiliki wa #wasafiTv akifuatiwa na #nasibuabdul na huyu mwingine wa tatu ambae siwezi kumtaja.

Naweza sema kua:- Huu muingiliano ni wa kibiashara

mfano mzuri ni
@diamondKaranga

Pamoja na matangazo mengine.
 
Diamond karanga naona kama wamchinga wa morocco _mwenge hawaziuzi tena .Sababu ni ni haswa?
 
Mbona mi naona hakuna mwingiliano,kwan wasafi walisubir mpaka clouds wamemaliza ndo na wao wakaanza kule mtwara,
 
Yap ni siku nyingine tena wapendwa wa JF naimani wote tumeamka salama.

Kitendo cha kuonesha document ya #tcra ya kuonesha kua mke wa kusaga ni moja kati ya wamiliki wa #wasafiTv akifuatiwa na #nasibuabdul na huyu mwingine wa tatu ambae siwezi kumtaja.

Naweza sema kua:- Huu muingiliano ni wa kibiashara

mfano mzuri ni
@diamondKaranga

Pamoja na matangazo mengine.
Kusaga ana umiliki mkubwa Wasafi CB kuliko Clouds MG.......hata ukimwambie achague moja ataenda Wasafi. Shareholder wakubwa wa CMG akiwemo Rostam Aziz maslahi yao yanalindwa kwa karibu na Boss Ruge!
 
Back
Top Bottom