Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Huu ni unyonyaji kama ni kweli, mondi aachane na hii ya kuwalipa 30% awe anawalipa mshahara kwa mwezi wasanii wakubwa kama akina Beyonce walishaachana na hii ya kulipa kwa percentHata Bill Gates na Mack hawamiliki 100 %.kwa mujibu wa bongo5 mameneja wa Diamond wanchukua 30 % anachoingiza Mondi na wanadeserve.