joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mbona mnapenda kuweka vikwazo au sababu da mange kasema, hivi bado mpaka sasa unamwamini mange. Hivi lini mange alimuombea mazuri Mondi, mara aseme anamiliki 8% leo kaumbuka.Ila kusaga ndo mwenye Sauti...! Kama aligombana na ndugu zakee bhasi ipo siku watagombana na diamond piaa pesaa mwanaharamuu... Diamond hayupo salama kabisaaaaa yani aache kujifanya mjanja.
Pesa....achana na Pesaa mzee! Pesa shetaniii...Mbona mnapenda kuweka vikwazo au sababu da mange kasema, hivi bado mpaka sasa unamwamini mange. Hivi lini mange alimuombea mazuri Mondi, mara aseme anamiliki 8% leo kaumbuka.
Alafu unazani Mondi fala, Mondi mambo yake yote anahusisha wanasheria, hajasoma lakini anajua nini thamani ya wanasheria. Alafu huyo mange anajua chanzo cha mgogoro wa familia ya Kusaga? , tatizo lenu mnapenda kudanganywa.
Do u remember what I told u? Boy Riki?Pesa....achana na Pesaa mzee! Pesa shetaniii...
Domo atakubalije kuwa na asilimia 2... wakati yy ndio kaibeba wasafi....dogo basi ana njaa....Joe 45%
Mrs Joe 53%
Mond 2%
Ukitaka ushahidi zaidi nifate PM nyaraka zingine hazifai kumwagwa hapa.
Pesa nini, imefanyaje?Pesa....achana na Pesaa mzee! Pesa shetaniii...
Haya mkuu labda kama ndo hiyo mikataba kupitia wana sheria...! Ubaya now kutakuwa na wasanii wa clouds wengne wa Wcb ni mpasukoo aise...ambao hawakushiriki kwenye hili bifu la juzi labda kidogo ndo wako safeDo u remember what I told u? Boy Riki?
Kugeukanaa dak sifuri tu...ndugu wa damu tu wanatoana rohooPesa nini, imefanyaje?
Asante Sana Boss.Pole sana Kiongozi.
Kuna mengine mengi zaidi ya hayo man! But time will tell! All the best kwa Chibu na Wasafi yoteHaya mkuu labda kama ndo hiyo mikataba kupitia wana sheria...! Ubaya now kutakuwa na wasanii wa clouds wengne wa Wcb ni mpasukoo aise...ambao hawakushiriki kwenye hili bifu la juzi labda kidogo ndo wako safe
Mbona mnatia ugumu mambo ya wenzenu. Wanasheria wapo pale kwa ya maswala hayo ya kugeukana na ni kazi yao kufight kwa ajili ya mteja wake. Mondi hajasoma ila sio mjinga kama wasanii wengine.Kugeukanaa dak sifuri tu...ndugu wa damu tu wanatoana rohoo
Anapiga ramli, baada ya kuumbuka na data zake za kupika, leo ile document imemuumbua.Dada mange anasema IPO Siku..Joe atamtimua mond...nikawaza wcb c ndo mond akiondoka wasafi lazima iyumbe
Hapana mkuu tunachangamsha genge,sasa tukiwa wote tunakubali vitu vinavyoletwa humu bila kuchallenge unafikiri watu watakuwa wanafunguka? Lazima uchallenge kidogo,mimi domo hata akiwa na share 1000% au 0% kwangu haniongezei wala hanipunguzii chochote,mie nipo porini nafanya biashara zangu za kukata mkaa kwahiyo hatuta kuja kukutana na DOMO katika angle yeyote ambayo itakuja kugongana kimaslahi(COnflict of interest),yeye hadhira yake ni MAZWAZWA na mimi Nyenzo zangu ni MITI kwahiyo tupo uelekeo tofauti,so ukiniona na challenge kitu basi kuanzia leo jua nachangamsha genge tu sipo serious.Mchizi unashusha heshima yako jf,long kitambo lakin siku hizi naona umekua na too much hate au ID yako anatumia dada ako?
Utakuwa na element za usagaji.....Mawazo yako tu yamejikita kwenye negative. Huyo dada yuko vzuri so hata mwanaume akisifia sioni shida. Duniani Kuna vtu vzuri kuvisifia sio dhambi